-
Moscow yatahadharisha kuhusu vikwazo vya Marekani dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Chechniya
Jul 21, 2020 10:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuwa Moscow itatoa jibu kwa vitisho vya Washington dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Chechniya inayojiendeshea mambo yake yenyewe.
-
Upinzani wa Russia na China kwa hatua za upande mmoja za Marekani
Jul 19, 2020 02:48Siasa za kujichukulia hatua na maamuzi ya kipeke yake za Marekani katika miaka ya karibuni zimezusha hasira kali za viongozi wa nchi mbalimbali duniani; na aghalabu ya viongozi hao wamekosoa siasa hizo za Marekani na kusisitiza kutekelezwa siasa za ushirikiano wa pande kadhaa kwa maslahi ya pamoja. Katika msimamo wao wa karibuni wa kimataifa, Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Russia na China wamekosa kuendelea siasa hizo za kivyake vyake za Marekani katika masuala ya kimataifa.
-
Afisa wa Russia: Wabunge wa Kongresi ya Marekani ni sawa na muuaji wa George Floyd
Jun 12, 2020 10:04Naibu Spika wa Bunge la Russia (DUMA) amesema kuwa uamuzi uliochukuliwa na wawakilishi wa Kongresi ya Marekani wa kuiwekea vikwazo zaidi Iran na Russia unafanana na mienendo ya polisi mzungu aliyemuua kikatili raia mweusi wa nchi hiyo, George Floyd.
-
Russia: Washington itekeleze kivitendo maagizo yake kuhusu haki za binadamu
Jun 08, 2020 12:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeitaka Washington itekeleze kivitendo maagizo yake inayoyatoa kuhusu haki za binadamu. Russia imeyasema hayo ikiwa ni radiamali yake kwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya Marekani katika kuyakandamiza vikali maandamano ya wananchi dhidi ya ubaguzi wa rangi wanaofanyiwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Russia: Hadhi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inazidi kuporomoka
Jun 06, 2020 02:56Serikali ya Russia imekosoa matamshi ya afisa mmoja wa Marekani aliyeitaka Moscow kuondoka eneo la Asia Magharibi na kuesema kuwa matamshi ya namna hiyo yasiyo ya weledi na yaliyotolewa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ni ishara ya kuporomoka kiwango cha hadhi ya wizara hiyo.
-
Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria
Feb 25, 2020 10:36Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa Idlib umepokewa kwa hisia kali, si na Uturuki pekee na uvamizi wake wa kijeshi huko Syria, lakini pia Marekani nayo ambayo inaongoza muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa eti kupambana na ugaidi nchini humo, imeitaka Russia ifanye mazungumzo na magaidi hao.
-
Safari ya Lavrov nchini Marekani, kuendelea tofauti kati ya Moscow na Washington
Dec 12, 2019 02:16Uhusiano wa Marekani na Russia hususan baada ya kuibuka mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, unashuhudia mivutano mingi ambapo Washington mbali na kukabiliana na Moscow katika uga wa masuala ya kiusalama, kijeshi na kisiasa pia imeiwekea mashinikizo makali Russia katika nyuga tofauti za kisiasa, kidiplomasia, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, mauzo ya silaha na nishati.
-
Russia: Vikwazo vimegeuka na kuwa wenzo wa kuzibana kisiasa nchi nyingine
Nov 06, 2019 03:07Waziri Mkuu wa Russia Dmitry Medvedev, amekosoa vikali mienendo ya Marekani ya kutumia siasa za vikwazo dhidi ya nchi nyingine.
-
Ukosoaji mkali wa Waziri Mkuu wa Russia kwa siasa za kibeberu za Marekani
Oct 21, 2019 02:48Siasa za upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, zimeshadidisha mizozo duniani.
-
Kujitoa Marekani katika mkataba wa INF; hatua mpya ya kuzidi kuvuruga uthabiti na amani ya dunia
Aug 03, 2019 07:39Tangu Donald Trump alipoingia madarakani na kushika hatamu za urais wa Marekani, ameamua kufuata muelekeo wa kudharau na kujitoa kwenye mikataba ya kimataifa ikiwemo ya silaha.