-
Russia yakosoa kitendo cha Marekani kukwamisha kupasishwa tamko la kulaani kubomolewa nyumba za Wapalestina
Jul 30, 2019 10:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekitaja kitendo cha Marekani cha kuzuia kupasishwa taarifa inayolaani kubomolewa nyumba za raia wa Palestina katika mji wa Quds kuwa ni ishara nyingine ya upuuzaji wa Washington wa sheria za kimataifa.
-
Sergey Lavrov: Marekani chanzo kikuu cha migogoro Mashariki ya Kati
Jul 18, 2019 02:27Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, Marekani ndio chanzo cha migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Safari ya Pompeo Russia: Jitihada zilizofeli za kupunguza hitilafu baina ya Washington na Moscow
May 16, 2019 02:34Uhusiano wa Marekani na Russia katika zama za baada ya vita baridi umekumbwa na pandashuka nyingi sana. Pamoja na hayo mgogoro wa Ukraine mwaka 2014, na baada ya hapo, yaani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, uhusiano wa Moscow na Washington umechukua mkondo wa kuzorota na hali imekuwa mbaya zaidi baada ya Marekani kuiwekea Russia vikwazo.
-
Malalamiko ya Moscow kuhusu kuingilia Marekani masuala ya ndani ya Russia
Oct 30, 2018 06:32Uhusiano wa Russia na Marekani uko katika hali mbaya zaidi hivi sasa ikilinganishwa na kipindi chote cha baada ya vita baridi. Marekani inatuhumiwa kufanya njama kubwa za kuingilia masuala ya ndani ya Russia. Mwaka 2016 pia, Washington iliamua kuiwekea vikwazo nchi hiyo kwa madai kuwa Moscow iliingilia uchaguzi wa rais wa Marekani.
-
Sisitizo la Rais wa Russia la kupinga utumiaji mabavu na uchukuaji hatua za upande mmoja katika uga wa kimataifa
Oct 13, 2018 07:41Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimeifanya nchi hiyo iendelee kutengwa duniani. Katika kutekeleza kaulimbiu yake ya "Marekani Kwanza", Trump, mbali na kuyapa kipaumbele cha kwanza maslahi na malengo ya Marekani, tab'an bila kujali nafasi za nchi zingine, anaitakidi kuwa siasa na sera za ubinafsi na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja zitaongeza nguvu za Marekani na kuiwezesha kuwashinda washindani wake.
-
Onyo la Waziri wa Ulinzi wa Marekani kwa Russia juu ya kukiuka mkataba wa makombora
Oct 06, 2018 08:22Moja kati ya masuala muhimu katika mivutano iliyopo kati ya Marekani na Russia ni mjadala unaohusiana na mkataba wa silaha. Moscow na Washington zina tofauti kubwa katika uwanja wa mkataba wa makombora ya wastani kwa kifupi INF.
-
Vitisho visivyo na kifani vya Marekani dhidi ya Russia
Oct 04, 2018 06:53Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa wa mivutano na migogoro ya mara kwa mara katika miaka ya hivi kaibuni. Maslahi yanayongongana ya madola hayo mawili makubwa katika nyanja za kiuchumi, kijeshi, kiusalama na sekta ya nishati yamewafanya Wamarekani waitambue Russia kuwa ni adui mkubwa zaidi wa serikali ya Washington katika masuala ya kijeshi na kiusalama na tishio nambari moja la nyuklia kwa Marekani.
-
Kushindwa siasa za Marekani duniani
Sep 25, 2018 02:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo ameiambia televisheni ya CNN kwamba serikali ya Donald Trump imefeli na kushindwa katika jitihada zake za kuboresha uhusiano wa Marekani na Russia.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa vikali muamala wa Marekani dhidi ya Iran
Sep 05, 2018 07:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amekosoa vikali sera za upande mmoja zinazotekelezwa na Marekani na kueleza kwamba muamala wa Washington dhidi ya Iran si wa kitaalamu wala hauendani na uhalisia wa mambo.
-
Radiamali ya Russia kwa njama mpya za Marekani dhidi ya Syria
Aug 29, 2018 04:35Russia imeonya kuhusu taathira za njama na hatua zozote za kijeshi zitakazochukuliwa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria.