-
Russia yaionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote nchini Syria
Aug 25, 2018 14:23Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imeionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote ile nchini Syria.
-
Russia: Marekani ifunge kambi yake ya kijeshi ya Al-Tanf, Syria na iondoke
Aug 03, 2018 03:50Kamanda wa kamandi kuu ya jeshi la Russia, ameitaka Marekani kufunga kambi yake ya kijeshi eneo la Al-Tanf, nchini Syria.
-
Moscow: Operesheni za Marekani huko Syria ni kinyume cha sheria
Jul 25, 2018 13:47Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani hawana haki yoyote ya kisheria ya kuendesha oparesheni zaidi huko Syria.
-
Balozi wa Marekani Russia: Kuna njia ndefu kabla ya kukutana Trump na Rais Putin
Jun 04, 2018 06:31Balozi wa Marekani nchini Russia amesema kuwa kuna njia ndefu sana kabla ya Marais Vladmir Putin wa Russia na Donald Trump wa Marekani kuweza kukutana.
-
Russia: Baada ya kujiondoa JCPOA, Marekani haina haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo
May 26, 2018 07:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kwamba kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), kimeiondolea nchi hiyo haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo.
-
Russia: Marekani imekiuka mkataba wa udhibiti wa makombora
May 21, 2018 14:32Mkuu wa idara ya kufuatilia utekelezwaji wa mikataba ya Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, hadi sasa Marekani imekiuka mkataba wa kudhibiti makombora uliowekwa kati ya Washington na Moscow, hasa baada ya Marekani kuunda makombora mapya ya balestiki ya masafa ya kilometa 500 hadi 5000.
-
Kremlin yajibu Twitter ya Trump: Makombora erevu yanapaswa kuelekezwa kwa magaidi, si kwa serikali halali
Apr 12, 2018 14:55Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin amesema Moscow Russia haishiriki katika udiplomasia wa Twitter.
-
Russia yaionya vikali Marekani kuhusu kushambulia tena Syria, yasema itajibu
Mar 13, 2018 15:52Maafisa wa ngazi za juu wa Russia wameionya vikali Marekani kuwa isithubutu kuishambulia upya Syria kwani matokeo ya chokochoko kama hivyo yatakabiliwa na jibu kali la Russia.
-
Russia: Tuko tayari kukabiliana na hatua za Marekani za kuzusha mivutano huko Syria
Jan 16, 2018 04:36Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi katika Bunge la Russia (Duma) amesema kuwa nchi yake iko tayari kukabiliana na hatua za Marekani na kuzusha mivutano huko Syria.
-
Mtazamo wa Warussia waliowengi: Marekani ni adui nambari moja wa Russia
Jan 11, 2018 16:20Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na kituo kimoja cha umma nchini Russia yanaonyesha kuwa akthari ya Warussia wanaamini kuwa Marekani ndiye adui yao nambari moja.