-
Russia: Tupo tayari kuzipatanisha Marekani na Korea Kaskazini
Dec 30, 2017 04:27Balozi wa Russia nchini Korea Kaskazini ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kuwa mwenyeji wa mazungumzo tarajiwa kati ya Marekani na Korea Kaskazini.
-
Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China
Dec 10, 2017 14:42Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Rand Corporation unaonyesha kuwa iwapo kutatokea vita na mapigano ya kijeshi Marekani ndiyo itakayopata hasara kubwa mkabala na Russia na China.
-
Radiamali ya Moscow kwa hatua mpya ya Marekani isiyo ya kidiplomasia
Oct 12, 2017 14:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa serikali ya Marekani inavuruga uhusiano kati yake na Russia.
-
Russia: Marekani na Ulaya zisicheze na moto
Sep 16, 2017 07:07Mkuu wa Baraza la Federesheni ya Russia amewatahadharisha mafisa wa serikali za Washington na nchi za Ulaya kukabiliana na nchi hiyo na kusema, siasa zilizodhidi ya Russia za Marekani ni sawa na kucheza na moto.
-
Russia: Marekani na NATO zinaruhusu magendo ya dawa za kulevya Afghanistan
Aug 20, 2017 06:50Serikali ya Russia imetangaza kuwa, hatua ya Marekani na jumuiya ya kijeshi ya nchi za Magharibi NATO ya kutopambana na dawa za kulevya nchini Afghanistan licha ya kushadidi uzalishaji na magendo ya dawa hizo, inatia shaka na kustaajabisha.
-
Russia yawapa masaa 72 wanadiplomasia wa Marekani kuondoka nchini humo
Aug 01, 2017 02:37Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ametangaza kuwa, wanadiplomasia wa Marekani wamepewa masaa 72 kuwa wamendoka katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Russia yajibu Marekani, yapunguza idadi ya wanadiplomasia wa Marekani na kuzuia mali zao
Jul 29, 2017 02:21Katika kujibu hatua ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia, serikali ya Moscow imetoa amri ya kupunguzwa idadi ya wanadiplomasia wa nchi hiyo nchini humo sambamba na kuzuia baadhi ya mali za kidiplomasia za maafisa hao.
-
Russia yawatimua wanadiplomasia 30 wa Marekani
Jul 11, 2017 08:14Serikali ya Russia katika kujibu hatua ya Marekani ya mwezi Disemba mwaka jana 2016 ya kuwatimua wanadiplomasia wake 35, imewatimua wanadiplomasia 30 wa nchi hiyo kutoka nchi hiyo.
-
Ugomvi wa Marekani na Russia wazidi kuwa mkubwa
Jun 05, 2017 04:23Katika kile kinachoonekana wazi ni kuzidi kuongezeka mzozo baina ya Marekani na Russia, mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA amesema kuwa, Russia ina mikakati ya muda mrefu ya kujipenyeza katika safu za viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuwadhibiti.
-
Russia: Marekani ni magaidi wa mitandaoni
May 14, 2017 16:25Makamu wa kwanza wa mkuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Baraza Shirikisho la Russia amesema kuwa, kitendo cha wadukuzi wa Marekani cha kudukua mawasiliano ya kompyuta ya nchi mbalimbali duniani, ni ugaidi wa kimitandao.