Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rwanda

  • Wanaokaidi karantini ya corona Kigali Rwanda, kukiona + Sauti

    Wanaokaidi karantini ya corona Kigali Rwanda, kukiona + Sauti

    Jan 21, 2021 18:08

    Siku tatu baada ya mji mkuu wa Rwanda Kigali kuwekwa kwenye zuio la wakazi wake kukaa nyumbani, baadhi ya wananchi wameonekana kukaidi miito hiyo na polisi wameonya kuwachukulia hatua kali ikiwa wataendelea kufanya hivyo. Serikali ya Rwanda iliamua kuweka zuio la wiki mbili kwa wakazi wa mji mkuu Kigali kutokana na ongezeko la maambukizi ya kirusi cha corona. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.

  • Rwanda na Malawi zafunga shule tena baada ya maambukizo ya corona kuongezeka

    Rwanda na Malawi zafunga shule tena baada ya maambukizo ya corona kuongezeka

    Jan 18, 2021 11:52

    Serikali za Rwanda na Malawi kuanzia leo Jumatatu zimefunga shule zikiwemo za chekechea kutokana na ongezeko la kesi za maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19 katika nchi hizo.

  • Rwanda yazinduwa maabara ya kupima COVID-19 katika uwanja wa ndege wa Kigali

    Rwanda yazinduwa maabara ya kupima COVID-19 katika uwanja wa ndege wa Kigali

    Dec 26, 2020 07:27

    Wizara ya Afya ya Rwanda imezindua maabara ya kupima COVID-19 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wageni wanaoingia Rwanda.

  • Vipimo vya COVID-19 kupatikana kwa wingi na rahisi nchini Rwanda + Sauti

    Vipimo vya COVID-19 kupatikana kwa wingi na rahisi nchini Rwanda + Sauti

    Dec 18, 2020 13:25

    Serikali ya Rwanda imeziruhusu zahanati zote binafsi nchini humo kupima maambukizo ya kirusi cha corona tena kwa kutumia vifaa vya kisasa zaidi vinavyotoa majibu chini ya dakika 15. Rwanda inasema inafanya hivyo kukabiliana na kasi ya ongezeko zaidi la wagonjwa wa COVID-19 nchini humo. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi.

  • Vita vya kupambana na rushwa vinaendelea nchini Rwanda + Sauti

    Vita vya kupambana na rushwa vinaendelea nchini Rwanda + Sauti

    Dec 10, 2020 16:45

    Serikali ya Rwanda imesema kuwa, utashi wa serikali na mikakati inayoendelea kuwekwa, ndivyo vitakavyokuwa suluhisho la kutokomeza ulaji rushwa nchini humo. Licha ya Rwanda kutajwa na mashirika ya kimataifa kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kwenye mapambano ya ulaji rushwa lakini bado nchi hiyo inasema juhudi kali za kuikabili rushwa zitaendelea. Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylivanus Karemera anaripoti zaidi…

  • Wamarekani wenye asili  ya Afrika wapatao 100 waiomba serikali ya Rwanda idhini ya kuishi nchini humo + SAUTI

    Wamarekani wenye asili ya Afrika wapatao 100 waiomba serikali ya Rwanda idhini ya kuishi nchini humo + SAUTI

    Dec 08, 2020 16:32

    Wamarekani wenye asili wapatao 100 wameiomba serikali ya Rwanda idhini ya kuishi nchini humo

  • Kabuga afikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, asema hana hatia

    Kabuga afikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa, asema hana hatia

    Nov 12, 2020 04:21

    Mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Felicien Kabuga jana Jumatano alifikishwa katika Mahakama ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania ambapo alisisitiza kuwa hana hatia katika mashitaka ya jinai yanayomkabili.

  • Jeshi la Rwanda lakamata wanamgambo 19 wa Burundi mpakani

    Jeshi la Rwanda lakamata wanamgambo 19 wa Burundi mpakani

    Oct 04, 2020 07:35

    Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) limewatia mbaroni wanamgambo 19 wa Burundi waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika mpaka wa nchi mbili hizo jirani.

  • Rusesabagina asema alihadaiwa na kupelekwa Rwanda badala ya Burundi

    Rusesabagina asema alihadaiwa na kupelekwa Rwanda badala ya Burundi

    Sep 18, 2020 10:41

    Paul Rusesabagina anayejulukana kama Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, anasema kuwa, aliamini alikuwa akisafiri kwenda Burundi kwa mwaliko wa mchungaji wa kanisa, lakini badala yake akahadaiwa na kupelekwa Rwanda na kukamatwa kwa tuhuma za ugaidi.

  • Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' afikishwa mahakamani kwa makosa ya ugaidi, mauaji

    Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' afikishwa mahakamani kwa makosa ya ugaidi, mauaji

    Sep 14, 2020 11:27

    Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda' inayosimulia kisa cha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda, Paul Rusesabagina, leo Jumatatu amefikishwa mahakamani mjini kigali akikabiliwa na mashtaka ya ugaidi, kufadhili ugaidi mauaji na kuteka nyara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS