-
Kushadidi mivutano ya kisiasa baina ya Ufaransa na utawala wa Kizayuni
Apr 23, 2025 02:08Utawala wa Israel umefuta viza za wabunge na maafisa 27 wa Ufaransa wa mrengo wa kushoto siku mbili kabla ya safari yao ya kuelekea Palestina inayokaliwa kwa mabavu iliyopewa jina bandia la Israel.
-
Kiwewe cha Trump kwa hatua za China: Juhudi za Beijing za kuunda muungano dhidi ya Washington
Apr 17, 2025 02:28Rais wa Marekani Donald Trump ameshindwa kuficha kiwewe chake kwa kusema kuwa ziara ya Rais Xi Jinping wa China nchini Vietnam inalenga kuiharibia jina Marekani, huku kukiwa na ongezeko la vita vya ushuru kati ya Washington na Beijing.
-
Safari ya Netanyahu nchini Hungary na kupuuzwa agizo la ICC la kumkamata mhalifu huyo
Apr 05, 2025 09:04Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC. Tangazo hilo limetolewa saa chache baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu kuwasili mjini Budapest.
-
Safari ya Grossi nchini Iran na kuwekwa wazi maendeleo ya amani ya nishati ya nyuklia ya Iran
May 07, 2024 08:17Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA aliwasili mjini Tehran Jumatatu akiongoza ujumbe alioandamana nao kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa kimataifa wa nyuklia na vilevile kufanya mazungumzo na viongozi wakuu wa nyuklia na kisiasa wa nchini.
-
Safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia katika nchi za Imarati na Saudi Arabia
Dec 09, 2023 06:12Rais Vladimir Putin wa Russia Jumatano alifanya ziara ya siku moja katika nchi za Imarati na Saudi Arabia ambapo alijadiliana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana na uhusiano wa pande mbili na masuala ya kimataifa, vikiwemo vita vya Gaza.
-
Safari ya John Kerry mjini Beijing: Jitihada za kuzuia ukaribu wa China na Russia
Jul 18, 2023 05:19John Kerry, mwanadiplomasia mkongwe na mwakilishi maalum wa Marekani katika masuala ya tabianchi aliwasili China Jumapili.
-
Safari ya kwanza ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani nchini China baada ya miaka mitano
Jun 19, 2023 13:11Anthony Blinken Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Jumapili ya jana tarehe 18 Juni aliwasili Beijing mji mkuu wa China, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya nchi mbili hizo ambao umezitia wasiwasi nchi nyingi.
-
Ufunguzi wa ubalozi wa Iran nchini Saudi Arabia; kushindwa kwingine kwa siasa za kikanda za Marekani
Jun 08, 2023 01:28Sambamba na kufufuliwa uhusiano wa kisiasa na kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Saudi Arabia, ubalozi wa Iran mjini Riyadh ulifunguliwa tena Jumanne, Juni 6 baada ya kufungwa kwa miaka saba.
-
Juhudi za Macron za kutetea kupunguzwa vikosi vya jeshi la Ufaransa barani Afrika
Mar 02, 2023 02:19Katika mkesha wa safari ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, barani Afrika ambayo inafanyika baada ya nchi hiyo kushindwa na kufeli sera zake barani Afrika; kiongozi huyo wa Ufaransa ametangaza kupunguzwa kwa vikosi vya jeshi vya Ufaransa katika bara hilo.
-
Ziara ya kiduru ya Lavrov katika nchi za Afrika; jitihada za Russia za kuzidisha satwa yake barani Afrika
Jan 28, 2023 12:20Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Jumatatu tarehe 23 mwezi huu alianza safari ya kiduru kwa kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na hadi sasa amefanya safari huko Afrika Kusini, Eswatini, Angola na Eritrea.