-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 07:17Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa
Dec 12, 2022 02:41Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa nchini Algeria
Aug 28, 2022 13:02Kufuatia kuendelea mvutano kati ya Ufaransa na Algeria, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameitembelea nchi hiyo ya Kiafrika kwa lengo la kuboresha uhusiano ulioharibika na kufungua "ukurasa mpya" katika uhusiano wa pande mbili.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China
Aug 20, 2022 02:41Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China.
-
Juhudi za Marekani za kueneza ushawishi wake barani Afrika
Aug 12, 2022 02:29Akiwa katika safari yake ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika, Anthony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, amezungumza na kushauriana na viongozi wa nchi alizozitembelea kuhusu masuala ya usalama, mgogoro wa chakula na jinsi ya kuzishirikisha nchi za Kiafrika katika vita vya Ukraine.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 07:10Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi
Jul 28, 2022 07:25Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko barani Afrika katika safari yake ya kwanza ya kikazi baada ya kuanza muhula wake wa pili kama rais wa nchi hiyo.
-
Kanisa Katoliki laomba msamaha kuhusu mauaji ya Kimbari ya Wacanada asilia
Jul 27, 2022 06:14Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Canada na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
-
Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya
Jul 26, 2022 06:33Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.
-
Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia
Jul 12, 2022 01:25Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Washington Post kwamba katika kipindi cha miezi 18 ya uongozi wake, eneo la Asia Magharibi limekuwa shwari na salama zaidi kuliko hapo awali. Biden ameyasema hayo katika jitihada zake za kujaribu kuhalalisha safari yake tarajiwa nchini Saud Arabia.