-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 07:10Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
Safari ya Macron barani Afrika; juhudi za kueneza ushawishi
Jul 28, 2022 07:25Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa yuko barani Afrika katika safari yake ya kwanza ya kikazi baada ya kuanza muhula wake wa pili kama rais wa nchi hiyo.
-
Kanisa Katoliki laomba msamaha kuhusu mauaji ya Kimbari ya Wacanada asilia
Jul 27, 2022 06:14Hatimaye, baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki, amekwenda Canada na kuomba msamaha kwa wenyeji asilia wa nchi hiyo kutokana na kuhusika kanisa hilo katika moja ya jinai na maafa mabaya zaidi ya kibinadamu nchini humo.
-
Safari ya Lavrov barani Afrika; juhudi za Russia za kutafuta fursa mpya
Jul 26, 2022 06:33Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameanza safari yake ya siku 5 barani Afrika kwa kuitembelea Misri ambako aliwasili Jumapili, Julai 24.
-
Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia
Jul 12, 2022 01:25Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Washington Post kwamba katika kipindi cha miezi 18 ya uongozi wake, eneo la Asia Magharibi limekuwa shwari na salama zaidi kuliko hapo awali. Biden ameyasema hayo katika jitihada zake za kujaribu kuhalalisha safari yake tarajiwa nchini Saud Arabia.
-
Joe Biden aendeleza uhasama wa Marekani dhidi ya Iran
Jul 10, 2022 07:49Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika mahojiano yake na gazeti la Washington Post, kuwa Washington itaendeleza mashinikizo ya kidiplomasia na kiuchumi hadi Iran itakaporejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuimarishwa mahusiano ya Iran na Turkmenistan
Jun 16, 2022 09:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu alisema Jumatano ya jana wakati alipokutana na Rais Serdar Berdimuhamedow wa Turkmenistan na ujumbe aliofutana nao kwamba, kustawisha na kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Iran na Turkmenistan ni kwa maslahi ya nchi mbili.
-
Safari ya Amir wa Qatar nchini Iran; ukurasa mpya katika uhusiano wa nchi mbili
May 13, 2022 10:57Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Amir wa Qatar aliwasili mjini Tehran siku ya Alhamisi kwa ziara rasmi ambapo amekutana na kuzungumza na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 07:11Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Lavrov nchini India na sisitizo la kutumiwa sarafu ya Ruble katika biashara
Apr 03, 2022 07:03Sergey Viktorovich Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amefanya ziara ya siku mbili ya kuitembelea kikazi India na kuonana na waziri mwenzake wa nchi hiyo Subrah Jaishankar na waziri mkuu wa India Narendra Modi.