-
Ayatullah Khatami: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utamfanya adui ajute
Jun 13, 2025 12:53Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, kukabiliana na adui na kupambana na mvamizi na dhalimu ni miongoni mwa mafundisho ya Ghadir na akasema: "Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu utamfanya adui ajutie."
-
Ayatullah Khatami: Iran katu haitalegeza msimamo kwa haki yake ya matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
May 30, 2025 11:35Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, Iran katu haitalegeza msimamo kwa haki yake ya matumizi ya nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mazungumzo na Marekani yanaendelea kwa tahadhari
Apr 25, 2025 13:47Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran, Hujjatul-Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu-Torabi Fard amesisitiza kuwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani yanafanyika kwa tahadhari na kutoka kwenye nafasi yenye nguvu na heshima.
-
Abu Turabi Fard: Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa la Palestina
Apr 04, 2025 12:31Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, Jamii ya Kiislamu inakabiliwa na mtihani mkubwa katika kulihami taifa adhimu la Palestina na kusimama imara kukabiliana na Uistikbari na mamluki wake yaani utawala wa niaba wa Wazayuni katika eneo hili.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Magharibi iwezeshe kufanyika mazungumzo kwa kuheshimu haki za taifa la Iran
Nov 29, 2024 12:08Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "ikiwa Magharibi itarekebisha mwenendo wake na pande mbili zikaheshimiana, itaweza kuandaa mazingira ya kufanyika mazungumzo na kufikia makubaliano na Iran".
-
Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni
Nov 22, 2024 12:15Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kuwa linafuata matakwa ya utawala haramu wa Israel.
-
Aboutorabi Fard: Wazayuni lazima tutawatia adabu
Aug 16, 2024 11:51Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kutiwa adabu utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na watu wote wanaelewa vyema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitoziacha jinai hizo zipite hivi hivi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utawala wa Kizayuni ujue kwamba tutalipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya
Aug 09, 2024 12:02Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza ulazima wa kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 11:28Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Vikosi vya ulinzi vya Iran ni mihimili imara mno ya taifa
Apr 26, 2024 12:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mihimili imara mno kwa taifa na inayoiletea dini izza na heshima.