-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Magharibi iwezeshe kufanyika mazungumzo kwa kuheshimu haki za taifa la Iran
Nov 29, 2024 08:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "ikiwa Magharibi itarekebisha mwenendo wake na pande mbili zikaheshimiana, itaweza kuandaa mazingira ya kufanyika mazungumzo na kufikia makubaliano na Iran".
-
Ayatullah Khatami: Uamuzi wa Bodi ya Magavana wa IAEA dhidi ya Iran umefuata matakwa ya Wazayuni
Nov 22, 2024 08:45Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelichukulia azimio la Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kuwa linafuata matakwa ya utawala haramu wa Israel.
-
Aboutorabi Fard: Wazayuni lazima tutawatia adabu
Aug 16, 2024 08:21Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kutiwa adabu utawala wa Kizayuni ni jambo lisiloepukika na watu wote wanaelewa vyema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitoziacha jinai hizo zipite hivi hivi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Utawala wa Kizayuni ujue kwamba tutalipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya
Aug 09, 2024 08:32Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesisitiza ulazima wa kulipiza kisasi cha damu ya Shahidi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 07:58Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Vikosi vya ulinzi vya Iran ni mihimili imara mno ya taifa
Apr 26, 2024 08:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mihimili imara mno kwa taifa na inayoiletea dini izza na heshima.
-
Hujjatul-Islam Ali Akbari: Maadui wasubiri operesheni zijazo za Kimbunga cha al-Aqsa
Mar 22, 2024 08:16Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema maadui wa Palestina wanapasa kusubiri operesheni ya pili, ya tatu na hata ya nne ya Kimbunga cha al-Aqsa kutoka kwa makundi ya muqawama.
-
Khatibu: Kimbunga cha al-Aqsa kimefichua nidhamu kadhaa za kisiasa duniani
Dec 15, 2023 08:35Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na muqawama wa Wapalestina wa Gaza vimefichua kuwepo nidhamu na miundo kadhaa ya kisiasa duniani, sambamba na kuonyesha kuwepo stratejia mpya ya kambi ya muqawama katika eneo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Uanachama wa Iran katika BRICS utavunja sera za upande mmoja
Aug 25, 2023 08:46Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Uanachama wa Iran katika kundi la "BRICS" una ufanisi kubwa katika kuvunja za kibeberu za maamuzi ya upande mmoja na pua kuvunja ubabe Marekani katika uga wa kiuchumi.
-
Wananchi waandamana kote Iran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kuwekewa vikwazo IRGC
Jan 27, 2023 09:03Baada ya kuswali Sala ya Ijumaa, wananchi kote katikaa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejitokeza mitaani na kulaani hatua za hivi karibuni za nchi za Magharibi na Ulaya zikiongozwa na Marekani za kudhalilisha matukufu ya Kiislamu na kuliwekea vikwazo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).