-
Ayatullah Kermani: Kimya cha taasisi za kimataifa mbele ya ukiukwaji wa haki za binadamu kimeharibu hadhi ya taasisi hizo
Mar 17, 2017 16:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika jiji la Tehran amesema kuwa kimya cha taasisi za kimataifa mkabala na mauaji ya Waislamu duniani yakiwemo mauaji ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar na jinai za Saudi Arabia huko Yemen, kimezifanya taasisi hizo za kimataifa eti za kutetea haki za binadamu zipoteza heshima na hadhi yao.
-
Ayatullah Kermani: Kadhia ya Palestina; kipaumbele cha Iran na Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 24, 2017 14:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo katika mji wa Tehran amesema kuwa kadhia ya Palestina inapewa uzito katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni kipaumbele cha Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Iran ya Kiislamu imevunja njama zote za maadui wake
Feb 17, 2017 14:31Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kuwa uwezo wa Iran ya Kiislamu ndio uliovunja njama zote za maadui dhidi ya nchi hii.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ujumbe wa taifa la Iran umefika kwa maadui
Feb 10, 2017 15:55Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa mahudhurio makubwa na yaliyojaa hamasa ya wananchi wa Iran katika maandamano ya leo ya kuadhimisha mwaka wa 38 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini yamefikisha ujumbe wa kuendelea kusimama kidete kwa ajili ya kuyatetea mapinduzi hayo kwa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ayatullah Siddiqi: Utawala wa kifalme Bahrain umepoteza uhalali wake
Jan 20, 2017 16:04Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kunyongwa vijana watatu Waislamu wa Kishia nchini Bahrain kumeufanya utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa upoteze uhalali wake.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya Tehran asifu nafasi ya Ayatullah Hashimi Rafsanjani
Jan 13, 2017 14:05Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika jiji la Tehran amesema kuwa marehemu Ayatullah Hashimi Rafsanjani alikuwa akiwafikiria vijana, akibainisha Uislamu wa kweli na Qur'ani Tukufu kabla na baada ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Ayatullah Khatami: Harakati ya Dei 19 ilikuwa nembo ya umoja wa taifa la Iran
Jan 06, 2017 14:14Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, harakati ya Dei 19 iliyosadifiana na Januari 9 mwaka 1978 ulikuwa mwanzo wa hatua ya pili ya mapinduzi ya Kiislamu na nembo ya umoja wa taifa la Iran.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu jinai za Saudia, Bahrain
Dec 30, 2016 15:59Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameonya kuhusu mauaji na ukandamizaji unaofanywa na tawala za kikoo za Saudi Arabia na Bahrain dhidi ya mataifa ya Waislamu na kusema tawala hizo zinaelekea kusambaratika kutokana na jinai zao hizo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran apongeza kukombolewa mji wa Halab nchini Syria
Dec 16, 2016 15:00Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa wanajeshi wa Syria kwa kushirikiana na vikosi vya muqawama wameukomboa mji wa Halab yaani Aleppo uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria na hivyo kuzima njama za maadui wa Uislamu.
-
Ayatullah Khatami: Iran itatoa jibu kali kwa ukwamishaji wa Marekani kuhusu JCPOA
Dec 09, 2016 14:10Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran ameeleza kuwa jibu litakalotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa njama na ukwamishaji unaofanywa na Marekani kuhusu Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA litakuwa kali.