-
'Iran itatoa jibu kali baada ya Marekani kukiuka mapatano ya nyuklia'
Dec 02, 2016 16:13Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema hatua ya Bunge la Congress la Marekani kurefusha vikwazo dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mapatano ya nyuklia baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kuzuia Sala ya Ijumaa nchini Bahrain
Dec 02, 2016 15:39Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain, kwa wiki ya 25 mfululizo, umewazuia Waislamu kusali Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq AS magharibi mwa mji mkuu Manama.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran alaani shambulio la kigaidi dhidi ya Mazuwwar nchini Iraq
Nov 25, 2016 15:19Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amelaani vikali shambulio la jana la kigaidi mjini Hilla Iraq lililopelekea kuuawa shahidi zaidi ya wafanyaziara 80 wa Imam Hussein as wakiwemo Mazuwwar 40 wa Kiirani.
-
Ayatullah Kashani: Hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein ni ishara ya muqawama wa Waislamu
Nov 18, 2016 15:09Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hamasa ya Arubaini ya Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), ni ishara ya muqawama wa Waislamu wa dunia, hususan wa madhehebu ya Kishia na Kisuni dhidi ya adui wa Uislamu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran alaani kimya kuhusu jinai za Saudia nchini Yemen
Oct 21, 2016 13:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amelaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu kuendelea jinai za utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen na katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kadhim Siddiqi: Taifa la Iran lilisimama imara mbele ya uchokozi na dhulma ya madola makubwa
Sep 23, 2016 14:02Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa kurejesha amani na uthabiti katika eneo la Mashariki ya Kati kunategemea kuwepo vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ayatullah Khatami: Saudia ni chimbuko la magaidi wa Daesh (ISIS)
Sep 16, 2016 14:56Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema jinai za kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh au ISIS zinatokana na fikra za kuwakufurisha Waislamu ambazo zinatawala Saudi Arabia.
-
Ayatullah Kermani: Wananchi wa Iran hawatasahau maafa ya Mina
Sep 02, 2016 15:43Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, watu wa Iran kamwe hawatasahau maafa ya vifo vya kuogofya ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana.
-
Ayatullah Khatami: Marekani na Saudia zinataka kulifufua kundi la kigaidi la MKO
Aug 19, 2016 16:35Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo hapa Tehran amesema kuliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqina ndio mpango mpya wa mabeberu na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya taifa la Iran.
-
Ayatullah Kermani: Siasa mbovu za Saudia kuhusu Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni
Aug 05, 2016 13:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, siasa mbovu za serikali ya Saudi Arabia kuhusu ibada ya Hija zimezijeruhi hisia za Waislamu ulimwenguni na zimekuwa ni kwa madhara ya watawala wa Aal Saud.