Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Wakati Saudia na Imarati zinapoitumia vibaya Sudan na baadaye kuiacha

    Wakati Saudia na Imarati zinapoitumia vibaya Sudan na baadaye kuiacha "solemba"

    May 26, 2020 02:19

    Kwa muda sasa Sudan imebadilisha misimamo yake ya kisiasa kama njia ya kuvutia misaada ya kifedha kutoka kwa nchi kama Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Saudi Arabia lakini nchi hizo hazioneshi utashi wowote wa kuitatulia Khartoum matatizo yake zaidi ya kuitumia tu kufanikishia malengo yao binafsi.

  • Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    Kufichuliwa kashfa ya Saudia ya kutuma maelfu ya magaidi nchini Iraq

    May 25, 2020 00:02

    Kusambazwa faili la sauti katika mitandao ya kijamii kumepelekea kufichuliwa kashfa ya Saudi Arabia kutuma maelfu ya magaidi wa nchi hiyo kwenda Iraq katika miaka ya hivi karibuni.

  • Saudia yakumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi, mishahara yapunguzwa

    Saudia yakumbwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi, mishahara yapunguzwa

    May 06, 2020 06:57

    Janga la COVID-19 limeshadidisha mgogoro wa kiuchumi Saudia Arabia na sasa mishahara ya wafanyakazi katika sekta binfasi nchini humo imepunguzwa kwa asilimia 40.

  • Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    Answarullah: Njia ya kuuokoa uchumi wa Saudia, ni kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen

    May 04, 2020 03:45

    Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi nchini Yemen amesisitiza kwamba, njia bora ya kuuokoa uchumi wa Saudia ni kwa nchi hiyo kuhitimisha muungano vamizi dhidi ya Yemen.

  • Waandishi wasio na mipaka wazitaka Misri na Saudia kuwaachia huru waandishi habari

    Waandishi wasio na mipaka wazitaka Misri na Saudia kuwaachia huru waandishi habari

    Apr 25, 2020 02:53

    Jumuiya ya Waandishi Habari Wasio na Mipaka imezitaka nchi za Saudi Arabia na Misri kuwaachia huru waandishi habari wanaoshikiliwa katika jela za nchi hizo ikitahadharisha kwamba, maisha ya wafungwa hao yamo hatarini kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.

  • Ripoti: Mamia ya Wanawafalme Saudia wanaugua corona

    Ripoti: Mamia ya Wanawafalme Saudia wanaugua corona

    Apr 18, 2020 07:09

    Kuna idadi kubwa ya wanawafalme katika Ufalme wa Saudi Arabia ambao wanaugua ugonjwa wa corona au COVID-19, na idadi yao kamili ni kubwa kuliko ile inayotangazwa na vyombo husika.

  • Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia

    Maseneta wa Marekani watishia 'kuichukulia hatua' Saudia

    Apr 11, 2020 09:19

    Maseneta wa Marekani wametishia kuangalia upya uhusiano wao na Saudi Arabia kutokana na hatua ya Riyadh ya kuendelea kuvutana na Russia juu ya bei ya mafuta ghafi ambayo imeiathiri pia Marekani.

  • Saudia inawatuma Yemen watu walioathirika na virusi vya Corona

    Saudia inawatuma Yemen watu walioathirika na virusi vya Corona

    Apr 10, 2020 23:55

    Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Uratibu wa Masuala ya Haki za Binaadamu nchini Yemen amesisitiza kuwa, Saudi Arabia imekuwa ikituma waathirika wa virusi vya Corona Yemen na kwamba vyombo vya usalama vya nchi hiyo vinafanya juhudi kubwa kuweza kuwatambua watu hao.

  • Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita nchini Yemen

    Muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudia waendelea kukiuka usitishaji vita nchini Yemen

    Apr 10, 2020 07:29

    Huku Martin Griffiths, Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na Nayef Falah al Hajraf, Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi wakipongeza uamuzi wa kusitisha vita na mapigano nchini Yemen, muungano vamizi unaoongozwa na Saudia katika vita huko Yemen umeendelea kukiuka usitishaji vita huo.

  • Human Rights Watch yakosoa kamatakamata ya wanaharakati nchini Saudia

    Human Rights Watch yakosoa kamatakamata ya wanaharakati nchini Saudia

    Mar 18, 2020 03:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa taarifa likikosoa hatua ya serikali ya Saudi Arabia ya kuwatia nguvuni maafisa wa serikali, wanaharakati na wakosoaji wa utawala wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS