-
Mamia ya raia wa Ethiopia waondoka Saudia Arabia
Oct 26, 2019 23:09Serikali ya Ethiopia imewaondoa mamia ya raia wake kutoka Saudi Arabia katika kipindi cha wiki za hivi karibuni.
-
Watu sita watiwa mbaroni Saudia kwa kumkosoa mpambe wa Bin Salman
Oct 25, 2019 23:05Wanaharakati wa haki za binaadamu nchini Saudia wameripoti habari ya kutiwa mbaroni na maafisa usalama wa nchi hiyo watu sita, kwa tuhuma ya kumkosoa mmoja wa watu wa karibu na Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Wapalestina waliotiwa mbaroni Saudia wakabiliwa na mateso
Oct 21, 2019 23:50Mwanachama wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa raia wa Palestina waliokamatwa nchini Saudi Arabia wanakabiliwa na mateso mbalimbali.
-
Larijani: Marekani ndiye mchochezi mkuu wa uhasama kati ya Iran na Saudia
Oct 16, 2019 01:06Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haina tatizo lolote wala haipingi mpango wowote wa kupatiwa ufumbuzi mikwaruzano na uhasama uliopo kati yake na Saudi Arabia, lakini Marekani ndiyo kizingiti kikuu katika kuafikiwa jambo hilo.
-
Saudi Arabia yaendeleza jinai dhidi ya Waislamu wa Shia maeneo ya mashariki mwa nchi
Oct 15, 2019 01:19Duru za habari nchini Saudi Arabia zimeeleza kwamba, tangu mwaka 2011 hadi sasa, utawala wa Aal-Saudi umewaua Waislamu wa Shia wapatao 128 katika mji wa Al Qatif mashariki mwa nchi hiyo.
-
Saudi Arabia yavunja rekodi yake ya kunyonga watu
Oct 07, 2019 04:25Katika kipindi cha miezi 9 iliyopita ya mwaka huu wa 2019, Saudi Arabia imeshatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 160 na kuvunja rekodi yake ya huko nyuma ya kutekeleza adhabu hiyo kwa watu wengi zaidi duniani.
-
Rais wa zamani wa Benin: Saudia inawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram
Oct 05, 2019 11:35Rais wa zamani wa Benin amefichua kuwa, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia unawasaidia kifedha magaidi wa Boko Haram wanaoendesha vitendo vya kigaidi magharibi mwa bara la Afrika.
-
Ripoti: Muungano wa Marekani-Saudia-Israel dhidi ya Iran unadorora katika mgogoro
Oct 05, 2019 03:15Muungano dhidi ya Iran ambao umeundwa na watawala wa Marekani, Israel na Saudi Arabia unadorora huku kila mmoja wa watawala wa nchi hizo akikumbwa na matatizo makubwa.
-
Yemen yajibu hatua ya muungano vamizi wa Saudia ya kupuuza mpango wa amani
Oct 03, 2019 10:31Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia utakabiliwa na vipigo visivyo na ukomo iwapo mpango wa amani wa Yemen utafeli.
-
Reuters: Baadhi ya wanafamilia ya kifalme Saudia wanataka Bin Salman awekwe kando, ami yake ashike madaraka
Oct 03, 2019 04:27Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, baadhi ya wanafamilia ya kifalme inayotawala Saudi Arabia na wafanya biashara wakubwa wa nchi hiyo wameeleza kuvunjwa moyo na uongozi wa mrithi wa ufalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman baada ya hujuma na mashambulizi makali ya wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wa Yemen dhidi ya vituo na taasisi za kuzalisha mafuta mwezi uliopita.