-
Kwa nini Imarati imeamua kupunguza idadi ya wanajeshi wake huko Yemen?
Jun 29, 2019 23:46Baadhi ya duru za habari zimeripoti kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umepunguza idadi ya askari wake waliokuwa katika mji wa Aden huko kusini mwa Yemen.
-
Waziri Mkuu wa Palestina: Wapalestina wanataka uhuru na si sadaka
Jun 25, 2019 22:27Waziri Mkuu wa Palestina amesema kuwa mhandisi na mtayarishaji wa mpango wa Kimarekani wa eti amani ya Mashariki ya Kati wa Muamala wa Karne unaosimamiwa na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner na wenzake hawaelewi kuwa Wapalestina hawataki sadaka bali wanadai haki zao za kuwa huru na kukomeshwa uvamizi wa Israel na udhibiti wa dola hilo haramu wa maisha na uchumi wao.
-
HRW: Saudi Arabia inapanga kumnyonga mtafiti Hassan al Maliki
Jun 24, 2019 00:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rigths Watch limetangaza kuwa utawala wa Saudi Arabia unakusudia kumhukumu na kumnyonga msomi na mtafiti maarufu Hassan Farhan al Maliki.
-
Jeshi la Yemen laua askari 8 wa Saudia, latungua drone nyingine ya Riyadh
Jun 23, 2019 22:27Jeshi la Yemen na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa nchi hiyo vimejibu mashambulizi ya muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Aal-Saud, kwa kuua wanajeshi wanane wa Saudia katika mkoa wa Najran, kusini magharibi mwa Saudi Arabia mpakani na Yemen.
-
Yemen yatekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi katika uwanja wa ndege wa Abha, Saudia
Jun 17, 2019 08:23Vikosi vya Yemen vimetekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi kwa kuulenga uwanja wa ndege wa Abha, katika mkoa wa Asir kusini mwa Saudi Arabia. Shambulizi hilo limetekelezwa ikiwa ni katika kulipiza kisasi mauaji ya wananchi wasio na hatia wa Yemen ambao wameuawa nchini humo katika mashambulizi ya Saudia na waitifaki wake katika kipindi cha miaka minne sasa.
-
Nafasi haribifu ya Saudia na Imarati katika kuzidisha mgogoro wa Sudan
Jun 17, 2019 07:04Mgogoro wa kisiasa wa Sudan umeshika mkondo mpya hususan baada ya mauaji ya raia zaidi ya mia moja waliokuwa wamekusanyika mbele ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum mapema mwezi huu.
-
Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia droni tano
Jun 14, 2019 02:58Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha wa kusini mwa Saudi Arabia umeshambuliwa tena na jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen.
-
Kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia mjini Vienna kupigwa kufuli rasmi
Jun 13, 2019 02:03Bange la Austria limepitisha kwa wingi wa kura mpango wa kukipiga kufuli kituo cha kidini cha Mfalme Abdullah wa Saudia mjini Vienna.
-
Wasaudia wakiri uwanja wao wa ndege umeshambuliwa kwa kombora la Yemen
Jun 12, 2019 11:15Msemaji wa muungano vamizi wa Yemen amekiri leo kwamba jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen wamejibu mashambulizi kwa kuupiga kwa kombora Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abha, mkoani Asir huko kusini magharibi mwa Saudi Arabia.
-
Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi
Jun 12, 2019 03:38Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."