-
Jeshi la Yemen laangamiza mamluki 90 wa Saudia vitani
Mar 29, 2019 11:24Jeshi la Yemen limetangaza kuwaangamiza mamluki 90 wa Saudi Arabia katika mji wa Sa'ada wakati wa kuzima hujuma kubwa ya Wasaudi dhidi ya mji huo wa kaskazini-magharibi mwa Yemen.
-
SIPRI: Saudia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani
Mar 11, 2019 23:17Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani.
-
Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote
Mar 10, 2019 23:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.
-
Afghanistan yaulaumu utawala wa Aal Saud kwa kuwawekea kodi nzito wahajiri wa nchi hiyo
Mar 09, 2019 01:09Imam wa swala ya Ijumaa mjini Kabul, mji mkuu wa Afghanistan ameukosoa vikali utawala wa Aal-Saud kutokana na hatua yake ya kuwawekea kodi nzito wahajiri wa Afghanistan waliokimbilia Saudia.
-
Amnesty International yaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati wa kike
Mar 08, 2019 10:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitisha maandamano mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini Paris huko Ufaransa kulalamikia hatua ya serikali ya Riyadh ya kuendelea kuwashikilia wanaharakati wa kike wa kutetea haki za binadamu.
-
Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 05, 2019 10:45Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).
-
Kongresi yataka kuchunguzwa ripoti kwamba, Saudia inatumia watoto wa Sudan katika vita vya Yemen
Mar 03, 2019 12:07Wabunge wa Kongresi ya Marekani wameanzisha mchakato wa kuitaka serikali ya nchi hiyo ianzishe uchunguzi kuhusu ripoti zinazosisitiza kuwa, Saudi Arabia na Imarati zinatumia watoto wa Sudan kama wapiganaji katika vita vya Yemen.
-
Nchi za Umoja wa Ulaya zajizuia kuiweka Saudia katika orodha ya utakatishaji wa fedha
Mar 02, 2019 04:15Katika miaka ya hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa na nafasi muhimu katika uhalifu wa makundi ya magaidi wakufurishaji katika Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani, kwa kuwapa magaidi hao misaada ya kila upande.
-
Amnesty yaitaka Uingereza kusitisha uuzaji silaha kwa Saudia
Mar 02, 2019 02:58Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Uingereza isitishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen.
-
UN yakosoa fichaficha ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Feb 28, 2019 23:46Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia visa vya kunyongwa watu kiholela na kinyume cha sheria amewatuhumu viongozi wa Saudi Arabia kuwa wanakwamisha uchunguzi wa faili la kesi ya mauaji ya mwandishi habari mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi.