Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Nov 11, 2018 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wataushinda ubabe na utumiaji mabavu kutoka upande wowote ule, na historia ni ushahidi wa wazi wa utamaduni na mwenendo huu wa Wairani.

  • Pasipoti za utawala wa Kizayuni kutumiwa katika safari ya kuendea Saudi Arabia

    Pasipoti za utawala wa Kizayuni kutumiwa katika safari ya kuendea Saudi Arabia

    Nov 09, 2018 11:04

    Mtandao mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni umeandika kwamba, hivi karibuni Wazayuni watatumia pasipoti za utawala wa Israel katika safari zao nchini Saudi Arabia.

  • WFP: Mamilioni ya Wayemen watakufa njaa vita vikiendelea

    WFP: Mamilioni ya Wayemen watakufa njaa vita vikiendelea

    Nov 09, 2018 04:24

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani, WFP, limetahadharisha kuwa iwapo vita havitamalizika Yemen, mamilioni ya Wayemen watakufa njaa.

  • "Saudia ilitumia programu ya udukuzi ya Israel kumfuatilia Kashoggi"

    Nov 08, 2018 11:49

    Edward Snowden, afisa wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amefichua nafasi ya utawala haramu wa Israel katika mauaji ya kikatili ya mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi yaliyofanywa na Riyadh nchini Uturuki mwezi uliopita.

  • Paris: Upo uwezekano wa kuiwekea vikwazo Saudi Arabia

    Paris: Upo uwezekano wa kuiwekea vikwazo Saudi Arabia

    Oct 31, 2018 21:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema kuwa upo uwezekano Saudia ikawekewa vikwazo iwapo itakuwa imehusika katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa ukoo wa Aal Saud, Jamal Khashoggi.

  • Dick Black: Uhusiano wa Marekani na Saudia unaainishwa na fedha

    Dick Black: Uhusiano wa Marekani na Saudia unaainishwa na fedha

    Oct 30, 2018 22:56

    Richard Hayden Black, Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani amesema kuwa, uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia hautegemei misingi ya matukufu ya kimaadili, bali unategemea maslahi ya kiuchumi.

  • L'Express: Vyombo vya ujasusi Uingereza vilijua mapema azma mbaya ya Wasaudi dhidi ya Khashoggi

    L'Express: Vyombo vya ujasusi Uingereza vilijua mapema azma mbaya ya Wasaudi dhidi ya Khashoggi

    Oct 29, 2018 10:34

    Gazeti la kila wili la Kifaransa la L'Express limefichua kuwa, vyombo vya intelijensia vya Uingereza vilikuwa na taarifa kwamba, mmoja wa wanawafalme wa Saudia ametoa amri ya kutekwa na hata kuuawa Jamal Khashoggi, mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.

  • "Uingereza ni mshiriki wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen"

    Oct 29, 2018 01:08

    Mbunge mmoja mwandamizi wa Uingereza amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ni mshiriki wa jinai za Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • HRW: Saudia imruhusu mtoto wa Khashoggi kuondoka nchini humo

    HRW: Saudia imruhusu mtoto wa Khashoggi kuondoka nchini humo

    Oct 24, 2018 23:04

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, serikali ya Saudi Arabia inapaswa kumruhusu mwana wa kiume wa mwandishi na mkosoaji wa nchi hiyo aliyeuawa ndani ya ubalozi wa Saudia mjini Istanbul huko Uturuki, Jamal Khashoggi kuondoka nchini humo.

  • Rais wa Marekani akiri kwamba, Bin Salman alihusika katika mauaji ya Khashoggi

    Rais wa Marekani akiri kwamba, Bin Salman alihusika katika mauaji ya Khashoggi

    Oct 24, 2018 04:30

    Rais Donald Trump wa Marekani amethibitisha kwamba, Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia alihusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal Saud.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS