Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Malenga wanne Saudia wafungwa miaka 30 jela kwa kumkosoa Bin Salman

    Malenga wanne Saudia wafungwa miaka 30 jela kwa kumkosoa Bin Salman

    Feb 03, 2018 04:41

    Mahakama ya Saudia imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela wakosoaji wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Feb 02, 2018 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema, baada ya nchi yake kuwekewa mzingiro na Saudi Arabia na waitifaki wake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ndio njia pekee ya kudhaminia dawa na chakula kwa wananchi wa Qatar.

  • Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa mkoani Jizan kusini mwa nchi hiyo

    Askari kadhaa wa Saudia waangamizwa mkoani Jizan kusini mwa nchi hiyo

    Feb 02, 2018 04:32

    Askari kadhaa wa Saudi Arabia wameangamizwa katika shambulio lililofanywa na mdunguzi mmoja wa Yemen dhidi ya ngome za askari hao huko kusini mwa Saudia.

  • Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu

    Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu

    Feb 01, 2018 00:09

    Russia imesema kuwa ushahidi uliotolewa na Marekani ikidai kuwa Tehran imewapa makombora wapiganaji wa harakati ya al Huothi nchini Yemen ni butu na hauna mashiko.

  • Wanasheria wa Uingereza: Iondoeni Saudia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Wanasheria wa Uingereza: Iondoeni Saudia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la UN

    Jan 31, 2018 23:09

    Mawakili wa Uingereza wametoa wito wa kuondolewa Saudi Arabia kwenye Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa wakieleza kwamba utawala huo wa kifalme unawaweka kizuizini wanaharakati wa kisiasa na wa uhuru wa kutoa maoni bila ya kuwafungulia mashtaka.

  • Mfalme wa Jordan: Kuna pande za Kiarabu zimeniwekea mashinikizo niachane na kadhia ya Quds

    Mfalme wa Jordan: Kuna pande za Kiarabu zimeniwekea mashinikizo niachane na kadhia ya Quds

    Jan 31, 2018 23:08

    Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amefichua kuhusu mapendekezo na mashinikizo ya kiuchumi inayopata nchi yake kutoka kwa baadhi ya nchi za Kiarabu, kutokana na msimamo wake kuhusiana na kadhia ya Quds.

  • Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo wa Saudia na Imarati, Aden nchini Yemen

    Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo wa Saudia na Imarati, Aden nchini Yemen

    Jan 29, 2018 01:15

    Katika mapigano makali yaliyojiri kati ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudia na Imarati mjini Aden, kusini mwa Yemen kwa akali watu 10 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa.

  • Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Zarif arudisha mapigo, asema Saudia na Marekani waliisaidia Daesh kwa silaha

    Jan 27, 2018 00:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Muhammad Javad Zarif amesema Saudi Arabia na Marekani haziwezi kupotosha ukweli wa mambo kuhusu misaada na ufadhili wao kwa kundi la kigaidi la Daesh.

  • Uzushi wa Saudia, Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa lengo la kubadili uhalisia wa mambo Mashariki ya Kati

    Uzushi wa Saudia, Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa lengo la kubadili uhalisia wa mambo Mashariki ya Kati

    Jan 26, 2018 04:47

    Adel al Jubeir Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia akiwa anafuata kibubusa sera za chuki dhidi ya Iran za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel, alitoa hotuba katika kikao cha Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos Uswisi siku ya Jumatano na kutoa tuhuma zisizo na msingi kuwa eti Iran inaunga mkono migongano ya kimadhehebu na ugaidi.

  • Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Zarif: Iran iliwaangamiza magaidi wa ISIS ambao walipata silaha kutoka Marekani, Saudia

    Jan 26, 2018 00:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani na Saudi Arabia ndio waliowapa magaidi wa ISIS au Daesh silaha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS