-
Mahakama ya Saudia yamhukumu kifo mwanaharakati wa Kiislamu
Aug 11, 2017 21:52Mahakama ya Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifo kwa mwanaharakati wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia anayepinga sera za utawala wa kifalme wa nchi hiyo huku serikali ya Riyadh ikiendelea kuwakandamiza wafuasi wa madhehebu hiyo, wapinzani wa kisiasa na watetezi wa demokrasia.
-
Hatimaye UN yavunja kimya chake, yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu
Aug 11, 2017 02:38Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia kukomesha jinai na mashambulio dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
-
Baadhi ya duru za habari: Saudia imebadili ghafla msimamo wake kuhusu Syria
Aug 06, 2017 11:53Kanali ya televisheni ya Al-Alam imeinukuu televisheni ya Russia Al-Yaum ikitangaza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Adel al-Jubeir amebadili ghafla msimamo kuhusu Rais Bashar Al-Assad wa Syria.
-
Amnesty International: Saudia isiwanyonge wapinzani 14 wa serikali ya Riyadh
Aug 05, 2017 22:39Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Saudi Arabia itupilie mbali uamuzi wa kuwanyonga wapinzani 14 wa serikali ya nchi hiyo waliolazimishwa kukiri makosa ambayo hawajafanya kutokana na mateso na manyanyaso.
-
Saudia yawafukuza maelfu ya vibarua Waethoipia kutokana na matatizo ya kiuchumi
Aug 02, 2017 09:51Utawala wa Aal Saud umewafukuza maelfu ya wafanyakazi za vibarua raia wa Ethiopia kutokana na matatizo ya kifedha yanayoikabili nchi hiyo.
-
Mauaji ya silaha za kibiolojia dhidi ya Wayemen, kilele cha unyama wa Marekani na Saudia
Aug 02, 2017 03:34Kila siku moja inayopita ya vita vya Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen, kunadhihirika sura mpya na ya kikatili zaidi ya mauaji ya kimbari yanayofanyika nchini humo, na sasa baada ya kutumia silaha zilizopigwa marufuku kama zile za vishada kuua raia wasio na hatia wa Yemen, Aal Saud na washirika wao wanatumia silaha ya kibiolojia kufanya maangamizi ya wanadamu.
-
Al-Ahd: Saudia na Israel ni washirika wakubwa katika kutenda jinai ndani ya nchi za Kiislamu
Jul 31, 2017 03:12Mtandao wa habari wa al-Ahd wa nchini Lebanon umeandika kuwa, utawala wa Aal-Saud na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wawili wanaotenda jinai kubwa dhidi ya binadamu katika nchi za Kiislamu.
-
Qatar: Saudia inaendesha kisiasa Ibada ya Hijja
Jul 30, 2017 10:43Kamisheni Taifa ya Haki za Binadamu nchini Qatar imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.
-
Waingereza wapatwa na wasi wasi kwa hatua ya Msaudia kununua hisa za intaneti nchini kwao
Jul 29, 2017 22:35Kitendo cha muwekezaji mmoja wa Saudia cha kununua sehemu kubwa ya hisa za tovuti ya gazeti la Independent ya nchini Uingereza, kimeyatia wasi wasi mkubwa makundi ya watetezi wa haki za binaadamu na uhuru wa vyombo vya habari vya taifa hilo.
-
Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano yao na utawala wa Kizayuni
Jul 29, 2017 09:14Sambamba na kuwepo mahusiano ya muda mrefu kati ya nchi zinazolizingira kwa kila upande taifa la Qatar na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, habari zinaarifu kwamba Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano hayo kwa walimwengu.