Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Vikosi vya jeshi la Yemen vyateka vituo kadhaa vya jeshi la Saudia

    Vikosi vya jeshi la Yemen vyateka vituo kadhaa vya jeshi la Saudia

    Jul 29, 2017 03:23

    Jeshi la Yemen limeviteka vituo kadhaa vya jeshi la Saudi Arabia katika mkoa wa kusini magharibi mwa nchi hiyo wa Jizan.

  • London yakaribisha juhudi za Doha za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu

    London yakaribisha juhudi za Doha za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu

    Jul 24, 2017 02:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekaribisha juhudi za serikali ya Qatar za kupunguza mivutano kati yake na nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Jul 23, 2017 09:37

    Umoja wa Falme za Kiarabu umekataa wito uliotolewa hivi karibuni na Amir wa Qatar, Sheikh Tamin bin Hamad al-Thani, wa kufanyika mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, na kusisitiza kuwa Doha sharti ibadili sera zake kabla ya kufanyika jitihada zozote za kuiondolea vikwazo nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi, iivyowekewa na Saudia na wapambe wake.

  • Mapinduzi ndani ya utawala wa kifalme Saudia yaendelea, mtoto mdogo wa Mfalme Salman ateuliwa kuwa balozi wa Riyadh huko Marekani

    Mapinduzi ndani ya utawala wa kifalme Saudia yaendelea, mtoto mdogo wa Mfalme Salman ateuliwa kuwa balozi wa Riyadh huko Marekani

    Jul 23, 2017 03:03

    Ndugu yake mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na mtoto mdogo wa Mfalme wa sasa wa nchi hiyo usiku wa kuamkia leo amekabidhi hati zake za utambulisho kwa Rais Donald Trump wa Marekani kama balozi mpya wa Saudia nchini humo.

  • Kuanzishwa taasisi mpya ya usalama na kuzidi kujiimarisha Mohammed bin Salman nchini Saudia

    Kuanzishwa taasisi mpya ya usalama na kuzidi kujiimarisha Mohammed bin Salman nchini Saudia

    Jul 22, 2017 01:24

    Mfalme Salman bin Abdulaziz Aal Saud wa Saudi Arabia Alkhamisi usiku alitoa amri ya kuundwa taasisi mpya ya usalama nchini humo suala ambalo linahesabiwa na wachambuzi wa mambo kwamba limefanyika kwa nia ya kumtia nguvu mwanawe yaani Mohammed bin Salman, mrithi mpya wa kiti cha ufalme wa nchi hiyo.

  • Ugonjwa wa kipindupindu Yemen ni mbaya zaidi katika historia ya dunia

    Ugonjwa wa kipindupindu Yemen ni mbaya zaidi katika historia ya dunia

    Jul 21, 2017 21:59

    Shirika la kutoa misaada la Oxfam linasema mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu Yemen ni mbaya zaidi katika historia ya zama hizi duniani. Kipindupidu kimeenea Yemen kufuatia hujuma ya kijeshi na mzingiro wa Saudia dhidi ya nchi hiyo.

  • Kuua wapinzani, silaha ya kisiasa inayotumiwa kwa ajili ya malengo ya kimadhehebu Saudi Arabia

    Kuua wapinzani, silaha ya kisiasa inayotumiwa kwa ajili ya malengo ya kimadhehebu Saudi Arabia

    Jul 20, 2017 03:09

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekutaja kuua raia kuwa ni silaha ya kisiasa inayotumiwa na utawala wa Saudi Arabia kwa ajili ya kuwanyamazisha wapinzani wake.

  • Mwandishi wa Algeria: Saudia ni silaha inayotumiwa na Marekani kuwahujumu Waislamu

    Mwandishi wa Algeria: Saudia ni silaha inayotumiwa na Marekani kuwahujumu Waislamu

    Jul 19, 2017 12:49

    Mwandishi maarufu wa nchini Algeria Haddat Hizam, amesema kuwa kinyume na madai yanayotolewa, Saudia si tu kwamba haina na nafasi yoyote yenye maslahi katika eneo, bali ni nyenzo bora inayotumiwa na Marekani kuwalenga Waislamu.

  • Wasudan elfu 50 watimuliwa Saudia kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya Riyadh

    Wasudan elfu 50 watimuliwa Saudia kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi ya Riyadh

    Jul 18, 2017 11:04

    Jumla ya Wasudan elfu 50 wanaoishi nchini Saudia, wametakiwa kuondoka nchi hiyo kabla ya muda waliopewa na serikali ya Riyadh kumalizika.

  • Saudia yaichochea FIFA iipokonye Qatar uwenyeji wa Kombe la Dunia 2022

    Saudia yaichochea FIFA iipokonye Qatar uwenyeji wa Kombe la Dunia 2022

    Jul 16, 2017 02:31

    Saudi Arabia inaziongoza nchi kadhaa za Kiarabu katika kulishinikiza Shirikisho la Soka Duniani kuipokonya Qatar haki ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2022 kwa madai kuwa nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi inaunga mkono ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS