-
Saudia yashindwa kuishawishi OIC kutoa azimio dhidi ya Iran
Jul 14, 2017 22:03Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kisiasa na Usalama wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, pendekezo la Saudia la kuingizwa kipengee cha kuilaani Iran katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC limetupiliwa mbali na wajumbe wa kikao hicho.
-
Maafisa wa Saudia waliwasaidia magaidi wa ISIS huko Mosul, Iraq
Jul 14, 2017 03:33Saudi Arabia ilituma maafisa wake wa kijasusi na kijeshi kujiunga na magaidi wa ISIS au Daesh Mosul wakati wa oparesheni ya jeshi la Iraq ya kuukomboa mji huo.
-
Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Uingereza wazidi kulalamikiwa kimataifa
Jul 12, 2017 03:02Taasisi za kutetea haki za binadamu nchini Uingereza zimekosoa kuendelea mchakato wa kuiuzia silaha Saudi Arabia ili izitumie katika mashambulizi yake dhidi ya raia wa Yemen wasio na hatia.
-
Bin Salman akoswakoswa kuuawa kwa risasi Saudi Arabia
Jul 11, 2017 11:41Ripoti za kuaminika zinasema kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na mwana wa mfalme wa nchi hiyo, Muhammad bin Salman amekoswakoswa kuuawa kwa risasi ndani ya familia ya kifalme ya Saudia.
-
Ahadi ya kuchekesha ya Saudia katika kuishawishi Iraq ijiunge na nchi zilizo dhidi ya Qatar
Jul 10, 2017 22:36Vyanzo vilivyo karibu na Haidar al-Abadi Waziri Mkuu wa Iraq vimesema kuwa Saudi Arabia inaishiinikiza nchi hiyo ili ijiunge na nchi zinazoiwekea vikwazo Qatar
-
Hali yazidi kuwa mbaya Saudia, sasa mahujaji kupandishiwa kodi kwa asilimi 30
Jul 10, 2017 00:07Wizara inayosimamia Ibada ya Hijja na Umra nchini Saudia imeyataka mashirika na taasisi za ndani zinazohusika na ibada ya Hija, sambamba na kuwasilisha dhamana ya benki, kuwatoza mahujai kodi ya asilimia 30.
-
Raia wa kigeni Saudia kutozwa kodi, pesa za ufalme zimeishia vitani Yemen
Jul 09, 2017 23:29Saudi Arabia inapanga kuwatoza kodi raia wa kigeni nchini humo kutokana na nakisi kubwa ya bajeti iliyotokana na kiasi kikubwa cha fedha kutumiwa kuivamia nchi jirani ya Yemen.
-
Saudia inahusika na kueneza virusi vya kipindupindu Yemen
Jul 09, 2017 09:39Rais wa zamani wa Yemen, Ali Abdullah Saleh, amesema Saudi Arabia ndio chimbuko la mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen ambao Umoja wa Mataifa umeutaja kuwa mbaya zaidi duniani.
-
Marekani inahofia kuongezeka hali ya mvutano kati ya waitifaki wake Mashariki ya Kati
Jul 07, 2017 10:35Serikali ya Marekani imesema ina wasiwasi wa uwezekano wa kuongezeka hali ya mvutano kati ya Qatar na Saudi Arabia.
-
Taarifa ya pamoja ya Saudia na waitifaki wake dhidi ya Qatar
Jul 06, 2017 23:28Saudi Arabia na waitifaki wake zimetoa taarifa ya pamoja na kudai kuwa hatua ya Qatar ya kukataa masharti ya nchi nne za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo vya kila namna nchi hiyo inaonesha nia ya Doha ya kuhatarisha usalama na utulivu wa eneo hili.