-
Hofu ya mapinduzi Saudia, watawala wakwepa mkutano wa G20
Jul 05, 2017 10:01Mfalme na mrithi wa kiti cha ufalme Saudi Arabia wanaripotiwa kukwepa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa nchi za G20 huko Hamburg, Ujerumani kwa kuhofia mapinduzi nchini kwao.
-
Waislamu Marekani wakumbuka uhalifu wa mawahabi wa kubomoa makaburi ya Maswahaba
Jul 04, 2017 11:12Waislamu katika maeneo mbalimbali wamekusanyika wakikumbuka kitendo kiuvu cha kubomolewa makaburi ya Jannat al-Baqi'i mjini Madina kilichofanywa na mawahabi wa Saudi Arabia miongo kadhaa iliyopita.
-
Uingereza: Tunaiunga mkono Saudi Arabia juu ya Qatar
Jul 04, 2017 03:35Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kuwa anaiunga mkono Saudia katika mgogoro na Qatar.
-
Safavi: Kuna hatari ya kutokea fitna mpya Ghuba ya Uajemi
Jul 03, 2017 23:12Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Vikosi vyote vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya Marekani, Saudi Arabia na Wazayuni kushindwa vibaya katika nchi za Iraq na Syria, hivi sasa kuna uwezekano kundi hilo likaanzisha fitna mpya katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Qatar yatangaza jeshi lake liko tayari kwa ajili vita
Jul 03, 2017 02:11Waziri wa Ulinzi wa Qatar amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kuilinda nchi hiyo endapo itakabiliwa na chokochoko tarajiwa za maadui.
-
Utunishaji misuli dhidi ya Qatar na masharti yasiyotekelezeka ya Saudia
Jul 01, 2017 02:07Saudi Arabia na waitifaki wake wamezidi kuitunishia misuli Qatar kwa kuipa masharti 13 magumu ambayo ni muhali kutekelezeka. Viongozi wa nchi mbalimbali, wanasiasa mashuhuri wa kieneo na kimataifa akiwemo pia Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, wote wamesema kuwa masharti hayo hayatekelezeki.
-
New York Times: Mrithi wa ufalme wa Saudia aliyengólewa, amewekwa kifungo cha nyumbani
Jun 29, 2017 09:58Gazeti la New York Times la nchini Marekani limefichua kuwa, Muhammad bin Nayef bin Abdulaziz Aal Saud mrithi wa kiti cha ufalme aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni nchini Saudia, sasa amewekwa katika kifungo cha nyumbani kwenye kasri yake mjini Jeddah na kuzuiliwa kusafiri nje ya nchi hiyo.
-
Libya yaitaka Saudi Arabia ieleze kwa nini imewatia mbaroni raia wake
Jun 28, 2017 10:53Serikali ya Libya imedhihirisha kukasirishwa kwake na kitendo cha Saudi Arabia cha kuwakamata raia wa nchi hiyo walipokuwa wanajiandaa kurejea nyumbani na kuitaka Riyadh itoe maelezo kuhusiana na sababu za kuwatia mbaroni raia hao wa Libya.
-
Qatar yalaani ukaidi wa Saudia wa kukataa suluhu
Jun 28, 2017 10:34Serikali ya Qatar imelaani ukaidi wa Saudi Arabia wa kukataa kufanya mazungumzo na Doha kwa ajili ya kutafuta njia za kuondoa vikwazo vya nchi nne za Kiarabu dhidi ya Qatar.
-
Ujerumani: Masharti iliyopewa Qatar ni ya kichochezi sana
Jun 27, 2017 03:16Ujerumani imeyataja kuwa ya kichochezi sana masharti iliyopewa Qatar kabla ya kutatulwa mgogoro wake na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudi Arabia.