-
Harakati ya IMN yataka kufanyike uchunguzi kuhusu mashambulizi dhidi ya waomboleza wa Muharram, Nigeria
Aug 26, 2020 08:15Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu shambulizi lililofanywa na polisi ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu waliokuwa katika shughuli ya kidini ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika jimbo la Kaduna.
-
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky waandamana tena wakitaka kuachiwa huru kiongozi wao
Jul 08, 2020 08:15Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja wakitangaza uungaji mkono wao kwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa harakati hiyo ambaye anaendelea kushikiliwa kizuizini licha ya hali yake mbaya ya afya.
-
Serikali ya Nigeria yaendelea na hatua kandamizi dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Jun 29, 2020 14:26Mtoto wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, serikali ya Rais Buhari imeendelea kufanya vitendo vya ukandamizaji dhidi ya baba yake huyo anayeshikiliwa gerezani.
-
Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika
May 19, 2020 03:25Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kadhia ya Palestina si tu suala la kidini, bali pia ni suala la kiutu na kiakhlaqi kwa mataifa ya Afrika.
-
Nigeria yatakiwa kumwachia huru Sheikh Zakzaky wakati huu wa corona
Apr 11, 2020 11:15Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) imetoa mwito wa kuachiwa huru kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayekabiliwa na hatari ya kuambukizwa virusi vya corona akiwa kizuzini.
-
Mahakama ya Nigeria yaakhirisha tena kusikiliza kesi ya Sheikh Zakzaky hadi mwezi Aprili
Feb 25, 2020 03:18Mahakama ya Nigeria imeakhirisha tena kusikiliza kesi ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi mwezi Aprili.
-
Mfuasi wa Sheikh Zakzaky auawa na polisi katika maandamano Abuja
Jan 22, 2020 12:10Vikosi vya usalama nchini Nigeria vimemuua kwa kumpiga risasi mfuasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria katika maandamano ya kulalamikia kuendelea kushikiliwa gerezani kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Waislamu Nigeria waendelea kulalamikia kushikiliwa Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Jan 16, 2020 11:26Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetoa taarifa ya kulalamikia kuendelea kushikiliwa gerezani kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
ICC inachunguza mauaji ya Waislamu wa Kishia nchini Nigeria
Jan 13, 2020 00:37Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu yenye makao yake London nchini Uingereza imesema Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC inaendelea kuchunguza mauaji ya halaiki ya Waislamu wa Kishia nchini Nigeria.
-
Kuzidi kuwa mbaya hali ya Sheikh Zakzaky chini ya mashinikizo ya serikali ya Nigeria
Jan 12, 2020 02:36Katika hali ambayo serikali ya Nigeria inaendeleza mashinikizo yake huku viongozi wa nchi hiyo wakizuia kuachiwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo; hali ya kimwili ya mwanazuoni huyo imeripotiwa kuzidi kuwa mbaya.