-
Ripoti: Hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky yazidi kuwa mbaya
Jan 11, 2020 13:41Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, hali ya kiafya ya kiongozi huyo anayeshikiliwa gerezani imezidi kuwa mbaya.
-
Sheikh Zakzaky: Kuuawa shahidi Qassim Soleimani kutaimarisha zaidi ari ya mapambano
Jan 04, 2020 13:20Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) na Naibu Mkuu wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al-Hashdul al-Shaabi, Abu Mahdi al-Muhandes kutapelekea kuimarika zaidi ari na moyo wa mapambano.
-
Maulamaa wa Kiislamu wataka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Dec 30, 2019 07:29Miito mbalimbali ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeendelea kutolewa na shakhsia, wanaharakati na Maulamaa wa Kiislamu katika maeneo mbalimbali ya dunia.
-
Ripoti ya X-Ray: Kuna vipande 43 vya mabaki ya risasi kwenye mwili wa Zakzaky
Dec 28, 2019 12:24Huku tahadhari juu ya hali mbaya ya kiafya ya Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky zikiendelea kutolewa; duru za hospitali zimefichua kuwa, vipande vya mabaki ya risasi vimekwama kwenye mwili wa mwahanarakati huyo wa Kiislamu.
-
Tahadhari yatolewa kuhusu hali mbaya ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Dec 27, 2019 09:17Ofisi ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) kwa mara nyingine tena imeeleza wasiwasi wake kuhusiana na hali mbaya ya kiafya ya kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa katia jela ya nchi hiyo.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt: Sheikh Zakzaky anapigania umoja wa Waislamu duniani
Dec 25, 2019 05:30Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya AhlulBayt amesema kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky ni shakhsia anayepigania umoja katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Jumuiya ya Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Kidini Qum yataka Sheikh Zakzaky aaichiwe huru
Dec 22, 2019 11:58Jumuiya ya Wahadhariri wa Vyuo Vikuu vya Kidini ktika mji mtakatifu wa Qum nchini Iran imelaani hatua ya serikali ya Nigeria ya kumfunga jela kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky na imetoa wito wa kuachiwa huru mwanazuoni huyo na kupewa mauibabu haraka iwezekanavyo.
-
Daktari wa Zakzaky: Kubakia kwake hai ni muujiza mkubwa
Dec 09, 2019 05:23Daktari wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky amesema kuwa msomi huyo ameathiriwa na sumu na anapaswa kupewa matibabu haraka iwezekanavyo.
-
Iran: Tunatumai mazungumzo na Nigeria yatapelekea kuachiwa Zakzaky
Dec 08, 2019 12:07Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema ina wingi wa matumaini kuwa mazungumzo kati ya Tehran na Abuja yatakuwa chachu ya kuanza safari ya kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mkuu wa Harakati ya Kiislamu Nigeria kupelekwa jela kuu ya Kaduna
Dec 06, 2019 07:32Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imekubali ombi la gavana wa jimbo hilo la kupelekwa Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe katika jela kuu ya jimbo hilo.