-
UNICEF: Wasichana wanatumia saa milioni 160 zaidi kufanya kazi za nyumbani
Oct 08, 2016 08:11Wasichana wenye umri wa kati ya miaka 5 na 14 wanatumia asilimia 40 zaidi ya muda au saa milioni 160 kwa siku kufanya kazi za nyumbani zisizo na malipo kote duniani.
-
Wasiwasi wa Unicef kuhusu hali ya watoto katika eneo la Ziwa Chad
Sep 01, 2016 15:48Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umezitolea mwito taasisi za kimataifa kuwasaidia wahanga wa mashambulizi ya kundi la Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
UNICEF: Vita vimesababisha maafa kwa watoto wa Iraq
Jun 30, 2016 14:49Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuwa watoto milioni tatu na laki sita wa Iraq wanakabiliwa na hatari kubwa ya kifo, kujeruhiwa, ukatili wa kingono, kutekwa nyara na kutumikishwa kama wapiganaji kwenye makundi yanayobeba silaha.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusiana na vifo vya watoto nchini Uganda
Jun 29, 2016 13:16Mwakilishi wa Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF ametahadharisha kuhusiana na vifo vya watoto nchini Uganda.
-
UNICEF yatahadharisha kuhusu hatari ya njaa na utapiamlo inayoikabili Zimbabwe
Mar 16, 2016 03:22Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Kushughulikia Watoto (UNICEF) umetahadharisha juu ya hali mbaya ya njaa nchini Zimbabwe na kutangaza kuwa endapo hatua za lazima hazitochukuliwa juu ya suala hilo baa la njaa na utapiamlo vitavuka kiwango cha kuweza kudhibitika.