-
Seneti ya Marekani yapinga mauzo ya Trump ya silaha kwa Saudia
Jun 21, 2019 11:27Bunge la Seneti la Marekani limeunga mkono azimio la kupinga mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, yaliyoidhinishwa hivi karibuni na utawala wa Rais Donald Trump bila idhini ya Kongresi.
-
Mahakama: Uingereza imekiuka sheria kwa kuiuzia silaha Saudia
Jun 21, 2019 04:34Mahakama ya Rufaa nchini Uingereza imesema kuwa serikali ya London ilikiuka sheria kwa kuiuzia silaha Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen.
-
Yemen: Tuhuma za kutumwa silaha katika nchi iliyozingirwa, ni uongo mkubwa
Jun 13, 2019 11:45Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Answarullah nchini Yemen amesema kuwa, tuhuma za kutumwa silaha za kigeni ndani ya nchi hiyo ambayo imekuwa chini ya mzingiro wa kidhalimu na kuifanya ishindwe kudhamini mahitaji ya chakula na madawa, ni suala lisilofikirika na ni uongo wa wazi.
-
Baraza la Usalama laongeza muda wa vikwazo kwa Libya kwa mwaka mmoja mwingine
Jun 11, 2019 03:19Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limekipatia mamlaka kikosi cha Umoja wa Ulaya kuendesha mapambano dhidi ya silaha haramu kuelekea Libya na kutekeleza vikwazo vya silaha vilivyowekewa nchi hiyo iliyoathiriwa na machafuko ya kaskazini mwa Afrika.
-
Seneti ya Marekani yaanzisha mchakato wa kuzuia uuzaji wa silaha kwa Saudia
Jun 06, 2019 06:41Maseneta wa Marekani wamewasilisha katika Kongresi ya nchi hiyo muswada unaotaka kuzuia mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 8.1 kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, yaliyoidhinishwa hivi karibuni na utawala wa Rais Donald Trump bila idhini ya Kongresi.
-
Mauzo ya silaha za Ufaransa kwa Saudia yaongezeka kwa 50%
Jun 05, 2019 03:56Ripoti mpya inaonesha kuwa mauzo ya silaha za Ufaransa kwa Saudi Arabia yaliongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita wa 2018.
-
Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu
May 20, 2019 11:03Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.
-
Trump kuiondoa Marekani katika Mkataba wa Silaha wa UN
Apr 27, 2019 07:46Katika mwendelezo wa sera zake kuu za kujitoa kwenye mikataba na makubaliano ya kimataifa, Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza azma ya kuiondoa nchi hiyo katika Mkataba wa Uuzaji Silaha wa Umoja wa Mataifa (ATT).
-
SIPRI: Saudia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani
Mar 12, 2019 02:47Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani.
-
Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400
Mar 07, 2019 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amewataka wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) waache kuingilia kwa namna yoyote ile maamuzi yanayochukuliwa na serikali ya nchi hiyo.