-
Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400
Mar 07, 2019 00:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amewataka wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) waache kuingilia kwa namna yoyote ile maamuzi yanayochukuliwa na serikali ya nchi hiyo.
-
Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati
Feb 19, 2019 23:10Afisa mwandamizi wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema asilimia 50 ya silaha zilizouzwa na Marekani mwaka jana 2018, zilinunuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Israel yaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar licha ya mauaji dhidi ya Waislamu
Feb 09, 2019 00:16Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuiuzia silaha serikali ya Myanmar.
-
Marekani na waitifaki wake; wabebaji dhima na masuulia ya matatizo ya Mashariki ya Kati
Dec 14, 2018 13:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Si Iran, bali ni Marekani na waitifaki wake ndio wahusika na wabeba dhima ya masaibu na matatizo yaliyolikumba eneo la Mashariki ya Kati, kuanzia yale yaliyosababishwa na Saddam mpaka yaliyoletwa na kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Seneti ya Marekani yataka kutouziwa silaha Saudi Arabia
Nov 16, 2018 11:16Kundi la Maseneta wa Marekani limewasilisha muswada unaotaka kupigwa marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa Saudi Arabia.
-
Watu 13 wauawa katika shambulizi jingine la ufyatuaji risasi California Marekani
Nov 08, 2018 11:02Watu 13 wamethibitishwa kuuawa katika shambulizi jingine la ufyatuaji risasi katika mji wa Thousand Oaks kwenye jimbo la California nchini Marekani.
-
Trump aishinikiza Saudia iendelee kurundika silaha za Marekani
Sep 30, 2018 10:51Rais Donald Trump wa Marekani ameitaka Saudi Arabia iongeze bajeti yake ya masuala ya kijeshi huku akisisitiza kwamba Washington haipokei kiwango cha fedha ambacho inastahili kupokea kutoka Riyadh.
-
Somalia yaitaka UN iiondolee vikwazo vya silaha
Sep 30, 2018 10:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Somalia ameutaka Umoja wa Mataifa kuondoa vikwazo vya muda mrefu vya silaha dhidi ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Saudia yanunua mfumo wa makombora kutoka Israel
Sep 13, 2018 09:22Saudi Arabia imeripotiwa kununua mfumo wa ngao ya makombora kutoka utawala wa Kizayuni wa Israel, katika hali ambayo ripoti zinasema tawala mbili hizo zipo mbioni kuweka wazi na kuimarisha uhusiano wao.
-
Silaha ya Muqawama; wenzo wa kuwahami wananchi wa Palestina
Aug 13, 2018 03:00Khalid al-Batsh, kiongozi mwandamizi wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina amesisitiza kuwa silaha ya Muqawama ndio wenzo wa kulihami taifa na wananchi wa Palestina dhidi ya Wazayuni maghasibu.