• Grossi asisitiza tena kutokuwepo shughuli za kijeshi za nyuklia nchini Iran

    Grossi asisitiza tena kutokuwepo shughuli za kijeshi za nyuklia nchini Iran

    Apr 17, 2024 02:28

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesisitiza kuwa, hakuna nyaraka zozote zinazothibitisha utengenezaji wa silaha za nyuklia nchini Iran na kuwa, mivutano ya hivi sasa haijavuruga mchakato wa ufuatiliaji wa wakala huo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran.

  • Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia

    Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia

    Mar 31, 2024 11:23

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ametenganisha baina ya kategoria ya kurutubisha madini ya urani na mchakato wa uundaji silaha za nyuklia na kutangaza kuwa Iran haitengenezi silaha za nyuklia licha ya kuwa na akiba ya urani iliyorutubishwa.

  • Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US

    Korea Kaskazini kuongeza kiwango cha silaha za nyuklia kukabili tishio la US

    Jan 01, 2023 07:19

    Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri ya kuzalishwa makombora mapya ya balestiki ya kuvuka mabara, sambamba na kuongezwa kiwango cha silaha za nyuklia za 'kimkakati' kwa ajili ya kukabiliana na tishio la Marekani.

  • Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia

    Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia

    Jan 28, 2022 10:31

    Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.

  • Iran: Mauaji ya Hiroshima ni kumbukumbu ya jinai za US dhidi ya binadamu

    Iran: Mauaji ya Hiroshima ni kumbukumbu ya jinai za US dhidi ya binadamu

    Aug 08, 2021 07:46

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mashambulizi ya mabomu ya atomiki yaliyofanywa na Kikosi cha Anga cha Jeshi la Marekani dhidi ya miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japan katika Vita Vya Pili Vya Dunia ndiyo jinai kubwa zaidi dhidi ya binadamu iliyowahi kuhuhudiwa katika uso wa dunia.

  • Russia yasisitiza udharura wa kuepusha vita vya silaha za nyuklia

    Russia yasisitiza udharura wa kuepusha vita vya silaha za nyuklia

    Aug 07, 2020 06:22

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amekosoa siasa za kindumakuwili za nchi za Magharibi hususan Marekani katika suala la kudhibiti silaha za nyuklia na kusema kuwa, kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kuzuia uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia.

  • Guterres atahadharisha kuhusu hatari ya silaha za nyuklia

    Guterres atahadharisha kuhusu hatari ya silaha za nyuklia

    Aug 06, 2020 09:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa hatari ya silaha za nyuklia inaongezeka siku baada ya nyingine.

  • Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imekiuka mkataba wa NPT

    Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imekiuka mkataba wa NPT

    Sep 10, 2019 02:38

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo jukumu la pamoja la kupiga marufuku aina yoyote ya majaribio ya uripuaji silaha za nyuklia na kueleza kwamba Marekani imekiuka mkataba wa kuzuia uundaji na uenezaji silaha za nyuklia (NPT) kwa kujitoa kwenye makubaliano yanayohusiana na mkataba huo na kwa kuanzisha mashindano ya kuzifanya silaha hizo za nyuklia kuwa za kisasa zaidi.

  • Zarif: Madola pekee yenye mabomu ya nyuklia Mashariki ya Kati ni Marekani na Israel

    Zarif: Madola pekee yenye mabomu ya nyuklia Mashariki ya Kati ni Marekani na Israel

    Aug 29, 2018 15:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwa mnasaba wa "Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Majaribio ya Silaha za Nyuklia" kwamba, licha ya kuwa dunia hivi sasa inaadhibimisha siku ya kimataifa ya kupambana na majaribio ya silaha za nyuklia, lakini madola pekee yenye mabomu ya atomiki katika eneo letu hili (Mashariki ya Kati) ni Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Foreign Policy: Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia

    Foreign Policy: Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia

    Mar 06, 2018 02:27

    Jarida la Foreign Policy la Marekani limeripoti kuwa, Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia ikishirikiana na Marekani.