Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha za kemikali

  • Syria yagundua silaha za kemikali za magaidi, zimetengenezwa Ujerumani na UK

    Syria yagundua silaha za kemikali za magaidi, zimetengenezwa Ujerumani na UK

    Apr 27, 2018 04:28

    Jeshi la serikali ya Syria limegundua ghala la sihala za kemikali zilizotongenezwa Ujerumani na Uingereza zilizoachwa nyuma na magaidi katika mji wa Douma.

  • Russia: Makundi ya kigaidi Syria yanawazuia wakaguzi wa OPCW kuingia Douma

    Russia: Makundi ya kigaidi Syria yanawazuia wakaguzi wa OPCW kuingia Douma

    Apr 19, 2018 14:27

    Nabu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi za kigeni huko Syria yanawazuia wakaguzi wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) kuingia katika mji wa Douma ulioko katika viunga ya mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani hujuma hujuma dhidi ya Syria

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani hujuma hujuma dhidi ya Syria

    Apr 15, 2018 13:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amempigia simu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutoa maelezo kuhusu kushiriki nchi yake katika hujuma ya makombora dhidi ya Syria.

  • Putin: Damascus haina silaha za kemikali; magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria

    Putin: Damascus haina silaha za kemikali; magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria

    Mar 11, 2018 03:28

    Akizungumza katika mahojiano na televisheni ya NBC, Rais wa Russia ameeleza kuwa madai yanayotolewa na Marekani kwamba serikali ya Syria inatumia silaha za kemikali ni ya uwongo na kwamba magaidi ndio wanaotumia silaha hizo huko Syria.

  • Kupigiwa kura ya turufu azimio dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la UN; pigo jengine kwa Marekani

    Kupigiwa kura ya turufu azimio dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la UN; pigo jengine kwa Marekani

    Nov 18, 2017 02:58

    Sambamba na kuendelea kupata ushindi jeshi la Syria na waitifaki wake katika mapambano dhidi ya ugaidi, baadhi ya wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamefanya juu chini ili kuyatia doa mafanikio hayo lakini wamegonga mwamba.

  • Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Marekani yakiri magaidi wanatumia silaha za kemikali Syria

    Oct 21, 2017 02:28

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kwa mara ya kwanza imekiri kwamba, magaidi wanatumia silaha za kemikali huko Syria.

  • Sisitizo la Syria la kutokuwa na silaha za kemikali

    Sisitizo la Syria la kutokuwa na silaha za kemikali

    Sep 10, 2017 10:52

    Katika kujibu madai ya kamisheni ya uchunguzi inayosimamiwa na Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa, kuhusiana na utumiwaji wa silaha hizo na serikali ya Syria, Damascus imetangaza kuwa haina silaha za namna hiyo.

  • Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Aug 17, 2017 07:39

    Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.

  • Zarif: Iran inapinga silaha za aina yoyote za kemikali

    Zarif: Iran inapinga silaha za aina yoyote za kemikali

    Jul 02, 2017 15:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa moja ya misingi mikuu ya Iran ni kupinga kikamilifu kuzalisha na kutumia silaha za aina yoyote za kemikali.

  • Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Chokochoko mpya za Marekani dhidi ya Syria

    Jun 30, 2017 13:33

    Sambamba na kuanza mchezo mpya wa White House dhidi ya Syria, vyombo vya habari vya nchi hiyo vimetangaza habari ya ndege za kivita za Marekani kushambulia mji wa Deir ez-Zor mashariki mwa nchi hiyo ambapo zimeua makumi ya wanawake na watoto katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS