Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha za kemikali

  • Genge la Daesh (ISIS) linafanya majaribio ya silaha za kemikali kwenye mwili wa mwanadamu

    Genge la Daesh (ISIS) linafanya majaribio ya silaha za kemikali kwenye mwili wa mwanadamu

    May 23, 2017 03:19

    Duru za habari zimeripoti jinai mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwamba wanachama wa kundi hilo wanafanya majaribio ya silaha zao za kemikali kwenye miili ya wanadamu.

  • Jeshi la Syria: Magaidi wangali wana silaha za kemikali na wanajiandaa kuzitumia tena

    Jeshi la Syria: Magaidi wangali wana silaha za kemikali na wanajiandaa kuzitumia tena

    Apr 13, 2017 16:34

    Kwa mara nyingine kamandi kuu ya Jeshi la Syria imetoa tahadhari ya uwezekano wa kutumiwa silaha za kemikali na makundi ya kigaidi dhidi ya raia wa kawaida nchini humo.

  • Magaidi ndio waliofanya shambulio la kemikali nchini Syria

    Magaidi ndio waliofanya shambulio la kemikali nchini Syria

    Apr 06, 2017 03:19

    Msemaji wa Ikulu ya Russia, Kremlin amesema kuwa, magaidi ndio waliofanya mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria.

  • Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Feb 25, 2017 07:17

    Russia imetangaza kuwa, itatumia kura ya veto kupinga vikwazo vya aina yoyote ile vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Syria kwa madai kwamba nchi hiyo imetumia silaha za kemikali.

  • Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Feb 13, 2017 17:19

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.

  • Jeshi la Syria lagundua karakana ya magaidi ya kutengeneza silaha za kemikali, Aleppo

    Jeshi la Syria lagundua karakana ya magaidi ya kutengeneza silaha za kemikali, Aleppo

    Jan 01, 2017 03:01

    Jeshi la Syria limetangaza kuwa, limegundua karakana iliyokuwa ikitumiwa na magaidi kutengeneza silaha za kemikali katika mji wa kaskazini mwa nchi hiyo wa Aleppo.

  • Utumiaji wa silaha za kemikali kundi la Daesh na udharura wa Magharibi kujibu suala hilo

    Utumiaji wa silaha za kemikali kundi la Daesh na udharura wa Magharibi kujibu suala hilo

    Nov 30, 2016 08:18

    Alireza Jahangiri Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) alisema jana huko The Hague Uholanzi kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi ya Daesh na Jabhatul Nusra ambazo zinafanikisha upatikanaji wa silaha za kemikali kwa makundi hayo ili yazitumie dhidi ya raia wasio na hatia, ni lazima zitoa majibu kuhusiana na hatua zake hizo.

  • Syria yajibu madai ya nchi za Magharibi kuhusu silaha za kemikali

    Syria yajibu madai ya nchi za Magharibi kuhusu silaha za kemikali

    Nov 30, 2016 04:13

    Syria imekadhibisha madai yaliyotolewa na nchi za Magharibi zinazodai kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumia silaha za kemikali katika mapambano yake dhidi ya makundi ya kigaidi.

  • Udharura wa kutoa jibu waungaji mkono wa magaidi wanaotumia silaha za kemikali

    Udharura wa kutoa jibu waungaji mkono wa magaidi wanaotumia silaha za kemikali

    Nov 30, 2016 03:46

    Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) ameeleza kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotumia silaha za kemikali zinapasa kutoa jibu kuhusu suala hilo.

  • HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    Nov 12, 2016 07:50

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanatumia silaha za kemikali kaskazini mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS