Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Muda wa kuhudumu kikosi cha AU cha kulinda amani Somalia waongezwa

    Muda wa kuhudumu kikosi cha AU cha kulinda amani Somalia waongezwa

    May 16, 2018 09:23

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja suala la kurefushwa kazi za kikosi cha Umoja wa Afrika AU cha kulinda amani nchini Somalia kinachojulikana kwa jina la AMISOM.

  • Rais wa Somalia alaani mauaji ya makumi watu katika mapigano kati ya Somaliland na Puntland

    Rais wa Somalia alaani mauaji ya makumi watu katika mapigano kati ya Somaliland na Puntland

    May 16, 2018 03:26

    Rais Mohammed Abdullahi Farmajo wa Somalia ametoa mwito wa kusitishwa mara moja na pasina masharti yoyote mapigano kati ya vikosi vya maeneo yenye mamlaka ya ndani ya nchi hiyo, ya Somaliland na Puntland.

  • Qatar kuendelea kuisaidia Somalia huku mgogoro na Imarati ukitokota

    Qatar kuendelea kuisaidia Somalia huku mgogoro na Imarati ukitokota

    May 15, 2018 09:14

    Qatar imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali ya Somalia za kurejesha uthabiti na uhuru wa kujitawala huku mgogoro kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na Umoja wa Falme za Kiarabu ukiendelea kutokota.

  • Watu 21 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu nchini Somalia

    Watu 21 wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu nchini Somalia

    May 10, 2018 02:00

    Polisi ya Somalia imetangaza kuwa, kwa akali watu 21 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililotokea sokoni nchini humo.

  • Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia

    Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia

    May 08, 2018 03:27

    Serikali ya Kenya imezionya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, hasa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuacha kuchochea mgogoro wa Somalia na kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo.

  • AMISOM kupeleka maafisa wa polisi katikati mwa Somalia

    AMISOM kupeleka maafisa wa polisi katikati mwa Somalia

    May 08, 2018 03:23

    Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetangaza mpango wake wa kutuma maofisa wa polisi kwenye eneo la Hirran, katikati kusini mwa Somalia.

  • Amisom, Jeshi la Somalia waimarisha usalama kuelekea Ramadhani

    Amisom, Jeshi la Somalia waimarisha usalama kuelekea Ramadhani

    May 05, 2018 22:50

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (Amisom) kimetangaza mkakati mpya wa kutibua shambulizi lolote tarajiwa la kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab, ikiwa imesalia chini ya wiki mbili kuanza mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Watu wenye silaha wavamia ofisi za shirika la Msalaba Mwekundu mjini Mogadishu Somalia

    Watu wenye silaha wavamia ofisi za shirika la Msalaba Mwekundu mjini Mogadishu Somalia

    May 03, 2018 23:41

    Watu wenye silaha jana walizivamia ofisi za Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu za Mogadishu, mji mkuu wa Somalia na kumteka nyara muuguzi mmoja wa kike, raia wa Ujerumaini.

  • Amisom yawanusuru watu elfu 10 kutokana na mafuriko Somalia

    Amisom yawanusuru watu elfu 10 kutokana na mafuriko Somalia

    May 02, 2018 10:15

    Askari wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom wamehamisha na kuwapeleka nyanda za juu, raia elfu kumi wa Somalia, ambao nusra waghariki kutokana na mafuriko katika mji wa Beledweyne, ulioko yapata kilomita 335 kaskazini mwa mji mkuu Mogadishu.

  • Waziri wa zamani wa ulinzi wa Somalia achaguliwa kuwa Spika wa Bunge

    Waziri wa zamani wa ulinzi wa Somalia achaguliwa kuwa Spika wa Bunge

    Apr 30, 2018 23:45

    Wabunge wa Somalia jana walimchagua Mohamed Mursal Abdirahman, waziri wa zamani wa ulinzi wa nchi hiyo kuwa Spika mpya wa Bunge.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS