Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Mshambuliaji wa kujitoa mhanga aua maafisa wanne wa jeshi la Somalia

    Mshambuliaji wa kujitoa mhanga aua maafisa wanne wa jeshi la Somalia

    Apr 28, 2018 11:44

    Mshambuliaji wa kujitoa mhanga ameua maafisa wanne wa jeshi la Somalia baada ya kujiripua katika kambi moja ya jeshi iliyoko kwenye mji wa Galkayo. Maafisa wa jeshi wamesema kundi la kigaidi la Ash-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda ndilo lililohusika na shambulio hilo.

  • Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati

    Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati

    Apr 21, 2018 02:57

    Muhammad Ali al Houthi, mkuu wa Kamati Kuu za Mapinduzi ya Yemen ameiunga mkono Somalia katika mgogoro wake na Imarati ambayo inaingilia waziwazi masuala ya ndani ya Somalia na kuitahadharisha Abu Dhabi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Mogadishu.

  • Makumi ya magaidi wa al-Shabaab wauawa eneo la Hiran, Somalia

    Makumi ya magaidi wa al-Shabaab wauawa eneo la Hiran, Somalia

    Apr 18, 2018 03:04

    Kwa akali wanachama 30 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa al-Qaeda wameuawa katika operesheni kali iliyotekelezwa na Jeshi la Taifa la Somalia katika eneo la Hiran jana Jumanne.

  • Mgogoro kati ya Somalia na Imarati washtadi, Abu Dhabi yafunga hospitali yake Mogadishu

    Mgogoro kati ya Somalia na Imarati washtadi, Abu Dhabi yafunga hospitali yake Mogadishu

    Apr 17, 2018 09:40

    Mgogoro kati ya Somalia na Imarati umezidi kushtadi ambapo mara hii serikali ya Abu Dhabi imechukua hatua ya kufunga hospitali yake mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.

  • Serikali ya Somalia yapinga kuingiliwa katika masuala yake ya ndani

    Serikali ya Somalia yapinga kuingiliwa katika masuala yake ya ndani

    Apr 17, 2018 03:35

    Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia amesema kuwa, serikali na wananchi wa nchi hiyo wanapinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo

  • Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Ethiopia

    Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Ethiopia

    Apr 16, 2018 09:50

    Maelfu ya watu wamelazimika kukimbia makazi yao katika maeneo ya mpaka wa Ethiopia na Somalia kutokana na mapigano makali yanayoendelea katika eneo hilo.

  • Uhusiano wa Somalia na Umoja wa Falme za Kiarabu wazidi kuzorota

    Uhusiano wa Somalia na Umoja wa Falme za Kiarabu wazidi kuzorota

    Apr 15, 2018 12:13

    Mzozo katika uhusiano baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Somalia umezidi kuzorota kutokana na hatua ya Imarati kuingilia mambo ya ndano ya nchi hiyo.

  • Watu watano wauawa kwa mripuko wa bomu katika uwanja wa mpira Somalia

    Watu watano wauawa kwa mripuko wa bomu katika uwanja wa mpira Somalia

    Apr 13, 2018 00:12

    Kwa akali watu watano wameuawa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu ulilotokea katika uwanja wa mpira wa miguu, kusini mwa Somalia.

  • Hatimaye Spika wa Bunge la Somalia ajiuzulu

    Hatimaye Spika wa Bunge la Somalia ajiuzulu

    Apr 09, 2018 02:51

    Spika wa Bunge la Federali la Somalia, Mohamed Sheikh Osman Jawari, hatimaye amejiuzulu baada ya nchi hiyo ye Pembe ya Afrika kushuhudia taharuki na mgogoro mkubwa wa kisiasa kwa wiki kadhaa.

  • AMISOM: Hatutahusika kwa namna yoyote katika mgogoro wa kisiasa nchini Somalia

    AMISOM: Hatutahusika kwa namna yoyote katika mgogoro wa kisiasa nchini Somalia

    Apr 07, 2018 11:43

    Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika AU nchini Somalia AMISOM kimetoa taarifa kikikanusha kuhusika kwa namna yoyote katika mkwamo wa kisiasa wa hivi sasa ndani ya serikali ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS