-
Watu 6 wauawa katika shambulizi la bomu Mogadishu, Somalia
Apr 07, 2018 03:23Kwa akali watu sita wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia milipuko pacha ya mabomu iliyotokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu jana Ijumaa.
-
Askari wa Uganda waua magaidi 22 wa Al-Shabaab nchini Somalia
Apr 02, 2018 03:09Jeshi la Uganda UPDF limesema askari wake walio katika Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Somalia, AMISOM, wamewaua magaidi 22 wa kundi la al-Shabab.
-
Al Shabab yashambulia kambi ya Umoja wa Afrika karibu na Mogadishu
Apr 01, 2018 12:54Wanamgambo wa kundi la al Shabab leo wamepigana kwa masaa kadhaa na wanajeshi wa Umoja wa Afrika baada ya kulipua gari walilotega bomu ndani yake nje ya kambi ya wanajeshi hao.
-
Rais wa Somalia asimamisha kikao cha kumuuzulu Spika wa Bunge
Apr 01, 2018 03:09Rais Mohammed Abdullahi Farmajo wa Somalia jana alilazimika kusimamisha kikao cha Bunge la Federali la nchi hiyo kilichokusudia kumuengua madarakani Spika wa bunge hilo.
-
Wanamgambo wa kikoo kuingizwa katika Jeshi la Somalia
Mar 31, 2018 10:31Vikosi vya Umoja wa Afrika vya kulinda Amani nchini Somalia, maarufu kama AMISOM, vimetangaza kuanza kwa zoezi la kuwasajili kwa njia ya kielektroniki wapiganaji wa makundi ya wanamgambo wa kikoo katika eneo la Jubbaland, ikiwa ni mchakato wa kuwajumuisha katika jeshi la serikali katika jimbo hilo.
-
Ujenzi wa ukuta katika mpaka wa Kenya na Somalia wasimamishwa
Mar 30, 2018 10:38Shughuli ya kujenga ukuta wa kilomita 700 katika mpaka wa Kenya na Somalia imesimamishwa kwa muda, ili kutoa nafasi ya kufanyika mashauriano zaidi kati ya nchi mbili hizo jirani.
-
Somalia yaitaka UN kusitisha uvamizi wa Imarati Somaliland
Mar 29, 2018 00:04Mwakilishi wa Somalia katika Umoja wa Mataifa amelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kukiuka maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na ametaka hatua za lazima zichukuliwe ili kusitisha uchokozi huo wa Imarati.
-
Marekani yamzuia rais wa zamani wa Somalia kuingia nchini humo
Mar 27, 2018 03:13Aliyekuwa rais wa Somalia amenyimwa viza ya kuingia nchini Marekani, chini ya dikrii iliyopasishwa na Rais Donald Trump ya kuzuia watu na wahajiri kutoka nchi za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Mgogoro wa kisiasa nchini Somalia waitia wasiwasi IGAD
Mar 26, 2018 23:03Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imeeleza wasiwasi iliyonao juu ya kushtadi mgogoro wa kisiasa nchini Somalia.
-
Watu 14 wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Mar 23, 2018 00:02Kwa akali watu 14 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko wa bomu uliotokea katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu.