Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Jumuiya ya IGAD yataka kuhitimishwa mgogoro wa wakimbizi Somalia

    Jumuiya ya IGAD yataka kuhitimishwa mgogoro wa wakimbizi Somalia

    Mar 22, 2018 23:29

    Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imesisitiza tena uungaji mkono wake wenye lengo la kuhitimisha mgogoro wa wakimbizi nchini Somalia.

  • AU: Mamlaka za ndani Somalia ziimarishe vita dhidi ya al-Shabaab

    AU: Mamlaka za ndani Somalia ziimarishe vita dhidi ya al-Shabaab

    Mar 14, 2018 10:55

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia ameyataka maeneo yenye mamlaka ya ndani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika yaimarishe makabiliano dhidi ya kundi la kigaidi na la kitakfiri la al-Shabaab.

  • Bunge la Somalia lapinga makubaliano ya Imarati na Somaliland

    Bunge la Somalia lapinga makubaliano ya Imarati na Somaliland

    Mar 13, 2018 04:05

    Bunge la Federali la Somalia limepiga kura kwa kishindo kupinga makubaliano ya pande tatu kati ya eneo la Somaliland, Umoja wa Falme za Kiarabu na Ethiopia kuhusu bandari ya Berbera, iliyoko katika Ghuba ya Aden.

  • Askari wanne wa Somalia wauawa katika shambulio la bomu karibu na Mogadishu

    Askari wanne wa Somalia wauawa katika shambulio la bomu karibu na Mogadishu

    Mar 11, 2018 03:48

    Askari wasiopungua wanne wa vikosi vya usalama vya Somalia wameuawa na mwengine mmoja amejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea kwenye viunga vya mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.

  • Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Kenya kuisaidia Somalia kuiumarisha mfumo wa sheria

    Mar 09, 2018 03:18

    Mwanasheria mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema, nchi yake itaisaidia Somalia kuimarisha mfumo wake wa sheria, ili kukabiliana vizuri zaidi na na changamoto za kijamii na kisiasa.

  • Askari 5 wa AU miongoni mwa watu 16 waliouawa katika hujuma za al-Shabaab Somalia

    Askari 5 wa AU miongoni mwa watu 16 waliouawa katika hujuma za al-Shabaab Somalia

    Mar 04, 2018 04:46

    Imerifiwa kuwa, wanajeshi watano wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom ni miongoni mwa watu 16 waliouawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab karibu na Mogadishu.

  • Ethiopia yanunua hisa za Bandari ya Berbera Somaliland

    Ethiopia yanunua hisa za Bandari ya Berbera Somaliland

    Mar 02, 2018 04:21

    Serikali ya Ethiopia imenunua asilimia 19 ya hisa za Bandari ya Berbera iliyoko katika Jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland nchini Somalia.

  • Amisom: Tumekomboa 80% ya maeneo yaliyokuwa chini ya al-Shabaab Somalia

    Amisom: Tumekomboa 80% ya maeneo yaliyokuwa chini ya al-Shabaab Somalia

    Mar 02, 2018 04:13

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kimesema kimefanikiwa kukomboa asilimia 80 ya maeneo ambayo yalikuwa kwenye makucha ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.

  • UN yasema itaendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya al-Shabaab Somalia

    UN yasema itaendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya al-Shabaab Somalia

    Feb 25, 2018 11:59

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sambamba na kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyoua makumi ya watu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, amesisitiza kuwa umoja huo utaendelea kuunga mkono jitihada za kulitokomeza kundi la kigaidi na la ukufurishaji la al-Shabaab.

  • Idadi ya watu waliouawa katika mripuko wa jana mjini Mogadishu Somalia yafikia 18

    Idadi ya watu waliouawa katika mripuko wa jana mjini Mogadishu Somalia yafikia 18

    Feb 24, 2018 04:12

    Idadi ya watu waliouawa katika mripuko wa bomu mjini Mogadishu, Somalia imefikia 18.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS