Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi wanne watiwa mbaroni katikati ya Somalia

    Magaidi wanne watiwa mbaroni katikati ya Somalia

    Feb 08, 2018 00:29

    Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi wanne wa genge la wakufurishaji la al Shabab, katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Jaji wa Somalia ateuliwa Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ

    Jaji wa Somalia ateuliwa Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ

    Feb 07, 2018 04:12

    Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ, yenye makao yake huko The Hague nchini Uholanzi imemteua Jaji Abdulqawi Ahmed Yusuf wa Somalia kuwa rais wake.

  • Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Katiba Bunge la Somalia asema: Imarati ilipanga kumuua

    Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Katiba Bunge la Somalia asema: Imarati ilipanga kumuua

    Feb 03, 2018 23:12

    Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Katiba ya Mabunge ya Somalia amesema kuwa vyombo vya ujasusi vya Imarati vilihusika na shambulizi lililolenga nyumba yake mjini Mogadishu mwishoni mwa mwezi Disemba na kwamba lengo la shambulizi hilo lilikuwa kumuua yeye.

  • Amisom: Huenda tusiondoe askari wetu Somalia kufikia 2020

    Amisom: Huenda tusiondoe askari wetu Somalia kufikia 2020

    Jan 28, 2018 04:20

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kimetahadharisha kuwa huenda ndoto ya kuwaondoa maelfu ya askari wake katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika isitimie bila msaada wa dharura na uungaji mkono wa jamii ya kimataifa.

  • Rais wa Somalia amfuta kazi meya wa Mogadishu

    Rais wa Somalia amfuta kazi meya wa Mogadishu

    Jan 21, 2018 10:37

    Rais wa Somalia Mohammad Abdullahi leo amemfuta kazi meya wa mji mkuu Mogadishu na kumteua waziri wa habari kuchukua nafasi yake.

  • Jeshi la Somalia laukomboa mji uliokuwa ukishikiliwa na Al Shabab

    Jeshi la Somalia laukomboa mji uliokuwa ukishikiliwa na Al Shabab

    Jan 20, 2018 01:08

    Jeshi la Somalia limeukomboa mji wa kusini wa Bar-Sanguni uliokuwa ukishikiliwa na kundia la magaidi wakufurishaji wa Al-Shabaab, na kuwaua wapiganaji saba wa kundi hilo, wakiwemo makamanda wake wanne waandamizi.

  • Makumi ya watoto waokolewa kutoka shule ya al-Shabaab Somalia

    Makumi ya watoto waokolewa kutoka shule ya al-Shabaab Somalia

    Jan 19, 2018 10:16

    Serikali ya Somalia imesema askari wa nchi hiyo wamevamia shule iliyokuwa ikiendeshwa na kundi la kigaidi la al-Shabaab na kuokoa makumi ya watoto toka kwenye makucha ya genge hilo la ukufurishaji.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha tena kuhusu ukame Somalia

    Umoja wa Mataifa watahadharisha tena kuhusu ukame Somalia

    Jan 19, 2018 01:06

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha tena kuhusiana na ukame katika nchi ya pembe ya Afrika ya Somalia.

  • Somalia yaitaka jamii ya kimataifa isaidie mchakato wa mageuzi

    Somalia yaitaka jamii ya kimataifa isaidie mchakato wa mageuzi

    Jan 16, 2018 11:11

    Waziri Mkuu wa Somalia Bw. Hassan Ali Khaire ametoa wito kwa jamii ya kimataifa iunge mkono serikali ya Somalia kuanzisha mchakato wa mageuzi kwa idara za usalama za nchi hiyo.

  • Human Rights Watch: Al Shabab inawalazimisha watoto wa Somalia kujiunga na kundi hilo

    Human Rights Watch: Al Shabab inawalazimisha watoto wa Somalia kujiunga na kundi hilo

    Jan 16, 2018 02:42

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa kundi la kigaidi la al Shabab nchini Somalia linawalazimisha wananchi kuwakabidhi watoto wao kwa kundi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS