-
Makumi ya watoto waokolewa kutoka shule ya al-Shabaab Somalia
Jan 19, 2018 10:16Serikali ya Somalia imesema askari wa nchi hiyo wamevamia shule iliyokuwa ikiendeshwa na kundi la kigaidi la al-Shabaab na kuokoa makumi ya watoto toka kwenye makucha ya genge hilo la ukufurishaji.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha tena kuhusu ukame Somalia
Jan 19, 2018 01:06Umoja wa Mataifa umetahadharisha tena kuhusiana na ukame katika nchi ya pembe ya Afrika ya Somalia.
-
Somalia yaitaka jamii ya kimataifa isaidie mchakato wa mageuzi
Jan 16, 2018 11:11Waziri Mkuu wa Somalia Bw. Hassan Ali Khaire ametoa wito kwa jamii ya kimataifa iunge mkono serikali ya Somalia kuanzisha mchakato wa mageuzi kwa idara za usalama za nchi hiyo.
-
Human Rights Watch: Al Shabab inawalazimisha watoto wa Somalia kujiunga na kundi hilo
Jan 16, 2018 02:42Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa kundi la kigaidi la al Shabab nchini Somalia linawalazimisha wananchi kuwakabidhi watoto wao kwa kundi hilo.
-
Libya yawatia mbaroni wahajiri 81 kutoka Somalia, Ethiopia na Eritrea
Jan 12, 2018 10:15Vyombo vya usalama mashariki mwa Libya vimewakamata makumi ya wahajiri raia wa Somalia, Eritrea na Ethiopia, ambao walikwepa mtego wa magendo ya binadamu.
-
Kufutwa kazi mawaziri watatu nchini Somalia
Jan 05, 2018 10:26Waziri Mkuu wa Somalia amewafuta kazi mawaziri wa mambo ya nje, wa mambo ya ndani na wa biashara wa nchi hiyo na kuteuwa watu wengine kushika nafasi hizo.
-
Mawaziri 3 wapigwa kalamu nyekundu nchini Somalia
Jan 04, 2018 10:08Waziri Mkuu wa Somalia, Hassan Ali Khaire amewafuta kazi mawaziri watatu katika nchi hiyo ambayo inakabiliana na mashambulizi ya kigaidi hususan kutoka kundi la kitakfiri la al-Shabaab.
-
Al-Shabaab yadai kuua askari 5 wa Amisom, Somalia
Jan 01, 2018 00:51Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab linadai kwamba limeua askari watano wa Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika Amisom katika mlipuko wa bomu uliotokea mjini Mogadishu jana Jumapili.
-
Somalia yarejeshewa udhibiti wa anga yake baada ya miaka 26
Dec 29, 2017 04:40Somalia imerejeshewa mamlaka ya kudhibiti anga yake kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1991.
-
Ansarullah kuishambulia Somaliland ikiendelea kushirikiana na UAE dhidi yake
Dec 27, 2017 03:46Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema ikilazimu, itaishambulia jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland kutokana na hatua yake ya kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu dhidi ya wapiganaji wa harakati hiyo ya Houthi.