-
Jeshi la Somalia lamkamata waziri wa zamani, laua walinzi wake 5
Dec 18, 2017 10:37Askari wa jeshi la Somalia wamemtia nguvuni waziri wa zamani na mgombea kiti cha rais wa nchi hiyo na kuua walinzi wake 5 baada ya kuvamia nyumba yake mjini Mogadishu.
-
Umoja wa Mataifa: Maelfu ya watu wameuawa na kujeruhiwa katika machafuko ya Somalia kuanzia mwaka jana
Dec 11, 2017 04:31Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, machafuko na mapigano nchini Somalia yamepelekea maelfu ya watu kuuawa na kujeruhiwa kuanzia Januari mwaka jana hadi Oktoba mwaka huu.
-
Somalia yasema hatua ya Trump dhidi ya Quds ni 'hatari'
Dec 10, 2017 00:10Somalia imejiunga na nchi nyingine za Afrika kulaani hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump ya kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Makumi ya wanajeshi wa Uganda waanza kuondoka Somalia
Dec 07, 2017 11:41Jeshi la Ulinzi la Uganda UPDF limeanza kuondoa makumi ya wanajeshi wake wanaohudumu ndani ya Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom.
-
Puntland yatangaza hali ya hatari kutokana na ukame
Dec 06, 2017 04:24Eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia limetangaza hali ya hatari kutokana na kushtadi ukame, huku likiiomba jamii ya kimataifa msaada wa chakula na maji.
-
AMISOM: Kupunguzwa wanajeshi wa AU Somalia kutakuwa na taathira hasi
Dec 04, 2017 23:43Kikosi cha Askari wa Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimeeleza wasi wasi wake kuhusiana na mpango wa kupunguza idadi ya wanajeshi wanaohudumu kwenye kikosi hicho.
-
Idadi ya waliopoteza maisha katika hujuma ya kigaidi Somalia Oktoba yafika 512
Dec 02, 2017 00:45Watu 512 sasa wamebainika kupoteza maisha katika miripuko miwili ya mabomu iliyojiri katika mkuu wa Somalia, Mogadishu mwezi Oktoba, imesema kamati ya kuchunguza hujuma hiyo.
-
Al-Shabaab yadai kuua askari kadhaa wa Somalia, akiwemo kamanda
Dec 03, 2017 23:09Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) linadai kuwa limeua askari kadhaa wa Jeshi la Ulinzi la Somalia SNA akiwemo kamanda wa ngazi za juu wa jeshi hilo.
-
Waziri wa Masuala ya Dini wa Somalia afutwa kazi
Nov 26, 2017 10:33Hassan Ali Khayre, Waziri Mkuu wa Somalia amemfuta kazi Waziri wa Masuala ya Dini wa nchi hiyo bila kutangaza sababu ya uamuzi wake huo.
-
Wanamgambo wa al Shabab zaidi ya 100 wauawa katika shambulio la Marekani Somalia
Nov 21, 2017 23:35Jeshi la Marekani limeeleza kuwa limeuwa wanamgambo wa kundi la al Shabab zaidi ya 100 katika shambulio la ndege za kivita za nchi hiyo dhidi ya kambi ya kundi hilo huko Somalia.