-
Wananchi wa Somaliland washiriki uchaguzi wa rais, matokeo Ijumaa
Nov 14, 2017 03:53Mamia ya maelfu ya wananchi wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Somaliland nchini Somalia wamejitokeza katika uchaguzi wa kumchagua rais wa tano wa eneo hilo, ambao unashuhudia ushindani mkali kati ya serikali na kambi ya upinzani.
-
Marekani imezidisha harakati zake za kijeshi nchini Somalia
Nov 13, 2017 04:40Kamandi ya jeshi la Marekani barani Afrika imetangaza kuwa nchi hiyo imeongeza kiwango cha harakati zake za kijeshi nchini Somalia.
-
Zaidi ya wakimbizi laki moja wamesharejea Somalia
Nov 11, 2017 04:14Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetangaza kuwa, zaidi ya wakimbizi laki moja wa Kisomali wamesharejea nchini kwao.
-
AMISOM kuondoa askari 1,000 nchini Somalia licha ya kuendelea kukosekana uthabiti nchini humo
Nov 09, 2017 04:13Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) umetangaza kuwa utaondoa askari 1,000 kutoka Somalia kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
AMISOM kuondoa askari 1,000 nchini Somalia
Nov 08, 2017 11:56Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) umetangaza kuwa utaondoa askari 1,000 kutoka Somalia hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
Jeshi la Somalia lakomboa maeneo muhimu yaliyokuwa chini ya al-Shabaab
Nov 05, 2017 11:36Vikosi vya jeshi la Somalia vimefanikiwa kukomboa ngome nyeti zilizokuwa chini ya makucha ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika maeneo ya Shabelle ya Chini na Kati.
-
Malengo ya hatua za kijeshi za Marekani nchini Somalia
Nov 04, 2017 23:43Kutokana na kushadidi mashambulizi ya kigaidi katika ardhi ya Somalia, ndege za kivita za Marekani kwa mara ya kwanza zimefanya mashambulizi dhidi ya ngome za makundi ya kigaidi katika nchi hiyo ya mashariki mwa Afrika.
-
Magaidi wa al Shabab wateka mji wa Rassadi kusini mwa Somalia
Nov 01, 2017 04:51Kundi la kigaidi la al Shabab limeuteka mji wa Rassadi ulioko kusini mwa Somalia baada ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika kuondoka katika eneo hilo.
-
Rais wa Somalia atangaza azma imara ya kupambana na ugaidi
Oct 31, 2017 10:12Rais wa Somalia ametangaza azma yake imara ya kupambana na magaidi katika nchi hiyo ambayo wiki za hivi karibuni imepoteza mamia ya watu katika mashambulio ya magaidi.
-
Umoja wa Ulaya wataka kutatuliwa hitilafu za ndani nchini Somalia
Oct 30, 2017 10:09Umoja wa Ulaya umetoa wito wa kupatiwa ufumbuzi hitilafu za ndani nchini Somalia ili kuboresha hali ya usalama wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika inayokabiliwa na hali ya mchafukoge.