-
Idadi ya waliouawa katika shambulio la Mogadishu, Somalia yafikia 358
Oct 21, 2017 04:18Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi la siku ya Jumamosi iliyopita katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu imeongezeka na kufikia 358.
-
Rais wa Somalia aapa kupambana na magaidi wa al Shabab baada ya hujuma ya kigaidi
Oct 19, 2017 04:13Rais Mohammad Abdullahi Mohamed wa Somalia ameapa kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab kufatia hujuma mbaya zaidi ya kigaidi kuwahi kushuhudiwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu ambapo watu zaidi ya 300 waliuawa.
-
Kamanda wa zamani al-Shabaab alaani mashambulizi ya Mogadishu
Oct 17, 2017 23:20Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo Mukhtar Robow amelaani vikali shambulizii la kigaidi lililoua watu zaidi ya 300 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu Jumamosi iliyopita.
-
Serikali Somalia yawaomba raia wachangie damu, waliouawa wapindukia 300
Oct 17, 2017 11:48Serikali ya Somalia imetoa wito kwa wananchi kuchangia damu kwa ajili ya kutibu majeruhi wa shambulizi la kigaidi la Jumamosi iliyopita mjini Mogadishu ambalo limeua mamia ya raia wasio na hatia.
-
Mauaji ya watu 276 katika shambulio la kigaidi nchini Somalia
Oct 15, 2017 23:05Mripuko wa lori lililotegwa bomu ndani yake uliua watu wasiopungua 276 mjini Mogadishu, Somalia siku ya Jumamosi jioni.
-
Mripuko wa lori lililotegwa bomu waua watu 40 mjini Mogadishu, Somalia
Oct 14, 2017 13:48Polisi ya Somalia imetangaza kuwa watu wapatao 40 wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya lori lililotegwa bomu kuripuka katika eneo lenye msongamano wa watu katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Somalia na Mkuu wa Majeshi wajiuzulu
Oct 13, 2017 00:36Waziri wa Ulinzi wa Somalia na Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo waliokuwa wakiongoza vita dhidi ya kundi la kigaidi la al-Shabab wamejiuzulu.
-
Uturuki yafungua kituo chake kikubwa cha kijeshi nchini Somalia
Oct 01, 2017 03:13Uturuki imefungua kituo chake kikubwa zaidi cha kijeshi barani Afrika ambacho kiko katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
15 wauawa katika hujuma ya al Shabab dhidi ya kituo cha kijeshi Somalia
Sep 29, 2017 10:26Magaidi wakufurishaji wa al-Shabab wameshambulia na kuteka kituo kimoja cha kijeshi karibu na mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambapo wanajeshi 15 Wasomali wameuawa katika tukio hilo.
-
Watu saba wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Sep 29, 2017 00:41Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kufariki dunia katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika eneo moja mjini humo.