Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Waziri wa Ulinzi wa Somalia na Mkuu wa Majeshi wajiuzulu

    Waziri wa Ulinzi wa Somalia na Mkuu wa Majeshi wajiuzulu

    Oct 13, 2017 00:36

    Waziri wa Ulinzi wa Somalia na Mkuu wa Majeshi wa nchi hiyo waliokuwa wakiongoza vita dhidi ya kundi la kigaidi la al-Shabab wamejiuzulu.

  • Uturuki yafungua kituo chake kikubwa cha kijeshi nchini Somalia

    Uturuki yafungua kituo chake kikubwa cha kijeshi nchini Somalia

    Oct 01, 2017 03:13

    Uturuki imefungua kituo chake kikubwa zaidi cha kijeshi barani Afrika ambacho kiko katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • 15 wauawa katika hujuma ya al Shabab dhidi ya kituo cha kijeshi Somalia

    15 wauawa katika hujuma ya al Shabab dhidi ya kituo cha kijeshi Somalia

    Sep 29, 2017 10:26

    Magaidi wakufurishaji wa al-Shabab wameshambulia na kuteka kituo kimoja cha kijeshi karibu na mji mkuu wa Somalia, Mogadishu ambapo wanajeshi 15 Wasomali wameuawa katika tukio hilo.

  • Watu saba wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Watu saba wauawa katika mlipuko wa bomu Mogadishu, Somalia

    Sep 29, 2017 00:41

    Watu wasiopungua saba wanaripotiwa kufariki dunia katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko mkubwa katika eneo moja mjini humo.

  • Kenya yataka dunia isaidie kikosi cha AMISOM kulinda amani Somalia

    Kenya yataka dunia isaidie kikosi cha AMISOM kulinda amani Somalia

    Sep 23, 2017 04:43

    Kenya imeitaka jamii ya kimataifa iongeze zaidi usaidizi wake kwa Kikosi cha Umoja wa Afrika cha Kulinda amani Somalia, AMISOM ili kiweze kushughulikia kwa kina vitisho vya usalama kabla ya kuanza kutekelezwa mpango wa kupunguza idadi ya askari wake.

  • Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar

    Somalia yakerwa na hatua ya Galmudug kukata uhusiano na Qatar

    Sep 22, 2017 04:27

    Serikali kuu ya Somalia imekosoa vikali hatua ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Galmudug kutangaza kuwa linaziunga mkono Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu katika mgogoro wa nchi za Kiarabu.

  • Watu 50 wauawa, 50,000 wakimbia mapigano mashariki mwa Ethiopia

    Watu 50 wauawa, 50,000 wakimbia mapigano mashariki mwa Ethiopia

    Sep 18, 2017 22:08

    Watu zaidi ya 50 wameuawa katika mapigano ya wiki moja katika maeneo la Oromiya na Somali nchini Ethiopia huku wengine 50,000 wakilazimika kukimbia makazi yao.

  • 9 wauawa katika makabiliano baina ya vikosi tofauti vya usalama Somalia

    9 wauawa katika makabiliano baina ya vikosi tofauti vya usalama Somalia

    Sep 17, 2017 02:58

    Kwa akali watu tisa wameuawa katika makabiliano baina ya wanajeshi na maafisa wa polisi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.

  • Jeshi la Somalia lakomboa eneo la mpakani kutoka kwa al Shabab

    Jeshi la Somalia lakomboa eneo la mpakani kutoka kwa al Shabab

    Sep 12, 2017 22:02

    Jeshi al Somalia limefanikiwa kukomboa eneo la mpaka wa nchi hiyo na Kenya lililokuwa limetekwa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al Shabab.

  • Watu sita wauawa  katika hujuma ya kigaidi Beledweyne Somalia

    Watu sita wauawa katika hujuma ya kigaidi Beledweyne Somalia

    Sep 10, 2017 09:54

    Watu wasiopungua sita wameuawa leo Jumapili baada ya gaidi mmoja kujiripua katika mkahawa ulioko nje ya ofisi ya kiserikali katika mji wa Beledweyne kati mwa Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS