Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Kundi la al-Shabaab la Somalia ladai kuua makumi ya askari Kismayu

    Kundi la al-Shabaab la Somalia ladai kuua makumi ya askari Kismayu

    Sep 03, 2017 03:04

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwa limeua makumi ya askari wa Somalia karibu na mji wa bandari wa Kismayu mapema leo Jumapili.

  • Shambulio la bomu la al-Shabaab siku ya Iddi laua 12 Puntland, Somalia

    Shambulio la bomu la al-Shabaab siku ya Iddi laua 12 Puntland, Somalia

    Sep 02, 2017 03:05

    Watu 12 wameuawa katika shambulizi la bomu lililofanywa na genge la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.

  • Serikali ya Somalia yakiri kuua raia katika operesheni ya pamoja na Marekani

    Serikali ya Somalia yakiri kuua raia katika operesheni ya pamoja na Marekani

    Aug 31, 2017 09:23

    Serikali ya Somalia hatimaye imekiri kwamba raia 10 wa Kisomali waliuawa eti kimakosa katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na jeshi la nchi hiyo na askari wa Marekani Ijumaa iliyopita.

  • Somalia yakataa

    Somalia yakataa "rushwa" ya Saudia, yagoma kujiunga na nchi zinazoisusia Qatar

    Aug 30, 2017 22:23

    Rais wa Somalia amekataa pendekezo la kupewa Euro milioni 68 lililotolewa na utawala wa Kifalme wa Saudi Arabia mkabala wa kujiunga na muungano wa nchi zilizokata uhusiano wao na kuisusia Qatar.

  • Wasomali wakataa kuzika watu wao mpaka serikali ikiri ilihusika na mauaji yao

    Wasomali wakataa kuzika watu wao mpaka serikali ikiri ilihusika na mauaji yao

    Aug 27, 2017 10:09

    Familia za Wasomali zimekataa kuzika maiti za wapendwa wao 10 wakiwemo watoto watatu mpaka serikali ikubali kubeba dhima ya mauaji yao yaliyofanywa katika shambulio lililotekelezwa kwa msaada wa jeshi la Marekani.

  • Wanajeshi wa Marekani waua watoto 3 katika hujuma Somalia

    Wanajeshi wa Marekani waua watoto 3 katika hujuma Somalia

    Aug 26, 2017 03:21

    Raia wasiopungua 10, wakiwemo watoto watatu, wameuawa katika hujuma ya pamoja na Jeshi la Marekani na Jeshi la Somalia kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.

  • Watu 10 wauawa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Marekani kusini mwa Somalia

    Watu 10 wauawa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Marekani kusini mwa Somalia

    Aug 25, 2017 23:25

    Serikali ya Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu 10 ambao ni raia wa kawaida katika shambulizi la wabeba silaha kijiji cha Barire, jimbo la Lower Shebelle, kusini mwa nchi hiyo.

  • Wakimbizi 70,000 warejea kwa hiari Somalia kutoka Kenya

    Wakimbizi 70,000 warejea kwa hiari Somalia kutoka Kenya

    Aug 25, 2017 01:59

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema limewarejesha nyumbani wakimbizi 70,516 wa Somalia kutoka Kenya, tangu kazi hiyo ianze mwaka 2014.

  • Mji wa Bariire Somalia wakombolewa kutoka mikononi mwa wanamgambo wa al-Shabab

    Mji wa Bariire Somalia wakombolewa kutoka mikononi mwa wanamgambo wa al-Shabab

    Aug 21, 2017 09:33

    Jeshi na Somalia likishirikiana na kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini humo AMISOM vimefanikiwa kuukomboa mji wa kiistratejia wa Bariire wa kusini mwa nchi hiyo uliokuwa ukidhibitiwa na wanamgambo wa kigaidi wa al-Shabab.

  • Serikali ya Somalia yayaonya mashirika na taasisi za fedha zinazoisaidia al Shabab

    Serikali ya Somalia yayaonya mashirika na taasisi za fedha zinazoisaidia al Shabab

    Aug 14, 2017 02:45

    Serikali ya Somalia imayaonya mashirika na taasisi za mawasiliano na za kifedha zinazohusika na usafirishaji wa fedha kwa ajili ya kundi la kigaidi na kiwahabi la al Shabab nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS