-
Kamanda wa zamani al-Shabaab ajiunga na serikali ya Somalia
Aug 13, 2017 23:06Aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na pia msemaji wa zamani wa genge hilo la ukufurishaji Mukhtar Robow Abu Mansur, amejisalimisha kwa jeshi la nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano yaliyowahusisha ash-Shabab wasiokubaliana Somalia
Aug 10, 2017 23:43Watu 20 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya wanachama wa kundi la ash-Shabab huko kusini magharibi mwa Somalia.
-
KDF yashambulia ngome za al-Shabaab karibu na Afmadow, Somalia
Aug 10, 2017 10:15Ndege za Jeshi la Ulinzi la Kenya KDF zimeshambulia ngome za kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika eneo la Weelmarow karibu na wilaya ya Afmadow, eneo la Lower Juba, kusini mwa Somalia.
-
Askari 7, raia 1 wauawa katika mashambulizi ya mabomu Somalia
Aug 06, 2017 03:10Kwa akali askari saba wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulizi ya mabomu yalilolenga msafara wa magari ya jeshi karibu na mji wa Baidoa nchini Somalia.
-
Magaidi wa al-Shabaab wateka na kudhibiti mji kusini mwa Somalia
Aug 05, 2017 03:38Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab la Somalia limetangaza kuwa limeuteka na kuudhibiti mji wa Leego, ulioko kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kiongozi wa mashambulizi ya ash-Shabab aangamizwa Somalia
Aug 01, 2017 08:47Wizara ya Habari ya Somalia imetangaza kuwa kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab anayehusika na suala la kupanga shambulizi ya kundi hilo ameangamizwa la jeshi la nchi hiyo.
-
Askari 12 wa Uganda wauawa nchini Somalia
Jul 31, 2017 11:05Jeshi la Uganda limetangaza kuwa, askari 12 wa nchi hiyo wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa kundi la kigaidi la al Shabab kusini mwa Somalia.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu Mogadishu, Somalia
Jul 30, 2017 10:44Watu sita wameuawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
60 wauawa, kujeruhiwa katika mapigano ya makundi hasimu ya kigaidi Somalia
Jul 23, 2017 09:19Kwa akali watu 20 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya makundi hasimu ya wanamgambo kutandikana yenyewe kwa yenyewe katikati mwa Somalia.
-
Kuharibiwa kituo cha as-Shabaab kusini mwa Somalia
Jul 22, 2017 02:23Jeshi la Somalia katika operesheni ya pamoja na kikosi cha walinda amani cha Umoja wa Afrika AMISOM limefanikiwa kuharibu kituo kimoja kikubwa cha magaidi wa as-Shabaab kusini mwa nchi hiyo.