Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Uganda kutuma wanajeshi elfu mbili Somalia kukabiliana na al Shabab

    Uganda kutuma wanajeshi elfu mbili Somalia kukabiliana na al Shabab

    Jul 15, 2017 23:45

    Serikali ya Uganda imesema kuwa imetuma wanajeshi wake elfu mbili huko Somalia ili kuendesha mapambano dhidi ya wanamgambo wa al Shabab wenye makao yao nchini Somalia.

  • Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu karibu na mji mkuu wa Somalia

    Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu karibu na mji mkuu wa Somalia

    Jul 13, 2017 03:38

    Habari kutoka Somalia zinaripoti kwamba, watu 11 wameuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea asubuhi ya leo karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Mogadishu.

  • Wapiganaji 18 wa Al Shabab wauawa kaskazini mwa Somalia

    Wapiganaji 18 wa Al Shabab wauawa kaskazini mwa Somalia

    Jul 10, 2017 01:53

    Wapiganaji wasiopungua 18 wa kundi la kigaidi la al Shabab wameuawa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Somalia katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Somali inapata hasara ya dola milioni 10 kila siku kutokana na kukatika Intaneti

    Somali inapata hasara ya dola milioni 10 kila siku kutokana na kukatika Intaneti

    Jul 09, 2017 03:36

    Kukatika huduma ya Intaneti nchini Somalia kumeisababisha nchi hiyo ya pembe ya Afrika matatizo mengi ikiwemo kupata hasara ya mamilioni ya dola kila siku.

  • Wanane wauawa na kujeruhiwa karibu na Mogadishu Somalia

    Wanane wauawa na kujeruhiwa karibu na Mogadishu Somalia

    Jul 02, 2017 10:43

    Watu wanane wameripoti kuuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.

  • Mgawanyiko waripotiwa katika safu za al Shabab, Somalia

    Mgawanyiko waripotiwa katika safu za al Shabab, Somalia

    Jul 02, 2017 01:43

    Ripoti zinasema kuwa, kumetokea hitilafu na mgawanyiko katika kundi la kigaidi la al Shabab la Somalia baada ya kusambaa habari kwamba, msemaji wa kundi hilo amejitenga na kwamba anaungwa mkono na jeshi la serikali ya Mogadishu.

  • Ongezeko la bidhaa za Iran zinazouzwa Somalia

    Ongezeko la bidhaa za Iran zinazouzwa Somalia

    Jul 01, 2017 12:24

    Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la bidhaa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinazouzwa nchini Somalia.

  • Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia

    Wanachama saba wa ash-Shabab watiwa kitanzi nchini Somalia

    Jul 01, 2017 08:46

    Viongozi wa kijeshi katika eneo la Puntland, kaskazini mwa Somalia, wamewanyonga wanachama saba wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab.

  • Jeshi la Somalia na kikosi cha AU chakomboa mji wa Janale

    Jeshi la Somalia na kikosi cha AU chakomboa mji wa Janale

    Jul 01, 2017 02:07

    Wanajeshi wa serikali ya Somalia na wale wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika wameukomboa mji Janale ulioko kusini mwa nchi hiyo ambao ulikuwa ukishikiliwa na wanamgambo wa kundi la al Shabab.

  • Wanamgambo sita wa al-Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Wanamgambo sita wa al-Shabab wauawa na jeshi la Somalia

    Jun 30, 2017 09:41

    Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua wapiganaji sita wa kundi la kigaid na kitakfiri la al-Shabab na kujeruhiwa makumi ya wengine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS