-
Shirika la Mashad: Watu 146 wameuawa El-Fasher, Sudan
Oct 16, 2025 05:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Mashad limerekodi vifo vya raia 146, wakiwemo watoto 41 katika siku za hivi karibuni katika mji El-Fasher magharibi mwa Sudan.
-
Wanamgambo wa RSF washambulia hospitali jimboni Darfur; watu 12 wameuawa, 17 kujeruhiwa
Oct 09, 2025 07:14Raia wasiopungua 12 wameuawa na wengine 17 kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika jimbo la Darfur Kaskazini.
-
Watu 13 wameuawa na 19 kujeruhiwa katika mashambulizi ya RSF Darfur Kaskazini
Oct 07, 2025 03:11Mtandao wa Madaktari nchini Sudan leo Jumatatu umetangaza kuwa raia wasiopungua 13 wameuawa na 19 kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora ya wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko Darfur Kaskazini.
-
Familia 1,200 zahama makazi yao kutokana na mafuriko Khartoum, Sudan
Oct 06, 2025 07:15Zaidi ya familia 1,200 za Sudan zimefurushwa katika nyumba zao na mafuriko katika mji wa Bahri katika jimbo la Khartoum, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Jumapili.
-
Sudan yatoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko nchini
Sep 30, 2025 02:29Sudan imetoa "tahadhari nyekundu" kuhusu uwezekano wa kutokea mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikisema kuwa viwango vya maji vimeongezeka katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.
-
WHO: Wagonjwa wa kipindupidu Sudan wafikia 113,500; chanjo yaendelea kutolewa
Sep 23, 2025 11:53Shirika la Afya Duniani leo Jumanne limetangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu umewaathiri watu zaidi ya 113,600 na kuuwa zaidi ya 3,000 kote nchini humo tangu Julai mwaka jana.
-
Taasisi ya misaada Sudan: Shambulio la RSF limeua watu 75 Darfur
Sep 20, 2025 02:37Vikosi vya Usaidizi wa Haraka RSF vimewaua watu 75 katika shambulio la ndege zisizo na rubani lililolenga msikiti mmoja katika kambi ya watu waliolazimika kuyahama makazi yao kwenye jimbo la Darfur nchini Sudan. Hayo yameelezwa na taasisi ya utoaji misaada inayoendesha eneo hilo inayojulikana kama Chumba cha Mjibizo wa Dharura (Emergency Response Room).
-
Zaidi ya 1,000 waaga dunia katika maporomoko ya ardhi Darfur, Sudan
Sep 02, 2025 07:03Kwa akali watu 1,000 wamepoteza maisha katika maporomoko ya ardhi yaliyoharibu kijiji kizima katika eneo la Milima ya Marra magharibi mwa Sudan.
-
Kamanda wa wanamgambo wa RSF aapishwa kuwa Mkuu wa serikali sambamba huko Sudan
Sep 01, 2025 07:45Mohammed Hamdan Dagalo kamanda wa wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) jana aliapishwa kuwa kiongozi wa serikali sambamba nchini Sudan.
-
Raia 5 wa familia moja wauawa katika shambulio la droni la RSF huko Kordofan ya Kaskazini
Aug 31, 2025 07:23Jeshi la Sudan limetangaza kuwa raia watano kutoka kwa familia moja, wakiwemo binti wawili, wameuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani lililotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo waMsaada wa Haraka (RSF) katika Jimbo la Kordofan Kaskazini, kusini mwa Sudan.