Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • UN: Wakimbizi wa Sudan wanakabiliwa na maafa ya binadamu katika nchi jirani

    UN: Wakimbizi wa Sudan wanakabiliwa na maafa ya binadamu katika nchi jirani

    May 13, 2023 21:59

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa wakimbizi wa Sudan wanakabiliwa na maafa ya binadamu katika nchi jirani.

  • Makubaliano ya awali ya pande zinazozozana Sudan kwa ajili ya kusitisha mapigano

    Makubaliano ya awali ya pande zinazozozana Sudan kwa ajili ya kusitisha mapigano

    May 13, 2023 03:52

    Hatimaye baada ya siku tatu za mazungumzo magumu ya kurudisha amani nchini Sudan, pande mbili zinazohasimiana zimetia saini taarifa na kukubaliana kuwa maslahi ya watu wa nchi hiyo yapewe kipaumbele. Pande hizo zimekubali kuchukua hatua zote za lazima ili kutowadhuru raia na kuwaruhusu waondoke kwenye maeneo yenye mapigano na yaliyozingirwa.

  • Mlipuko mkubwa waukumba mji mkuu wa Sudan, Khartoum mapema Jumatano

    Mlipuko mkubwa waukumba mji mkuu wa Sudan, Khartoum mapema Jumatano

    May 10, 2023 08:23

    Mlipuko mkubwa umeukumba mji mkuu wa Sudan, Khartoum mapema leo katika siku ya 26 ya vita vya kuwania madaraka kati ya jeshi la nchi hiyo linaloongozwa na Jenerali Abdel Fattah al Burhan na vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vinavyoongozwa na Kamanda Hamdan Dagalo.

  • UN: Hali Sudan ingali ni tete, ufikishaji misaada kwa wahitaji ungali ni changamoto

    UN: Hali Sudan ingali ni tete, ufikishaji misaada kwa wahitaji ungali ni changamoto

    May 10, 2023 03:25

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema hali ya kibinadamu nchini Sudan ingali tete huku idadi ya wanaofurushwa ndani na nje ikiongezeka na kuna changamoto kubwa ya kufikisha misaada kwa wote wenye uhitaji.

  • Arab League yatoa rasimu ya mpango wa kutatua mzozo wa Sudan

    Arab League yatoa rasimu ya mpango wa kutatua mzozo wa Sudan

    May 07, 2023 07:32

    Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) wametayarisha rasimu ya mpango wa kutatua mgogoro wa Sudan.

  • UN: Idadi kubwa ya kutisha ya watoto wanaouliwa vitani Sudan

    UN: Idadi kubwa ya kutisha ya watoto wanaouliwa vitani Sudan

    May 07, 2023 03:35

    Umoja wa Mataifa wiki hii umetahadharisha kuwa idadi kubwa ya watoto wanakufa vitani huko Sudan, na kueleza kuwa ripoti zinaonyesha kuwa watoto saba walikuwa wakiuawa au kujeruhiwa kila saa nchini humo.

  • Mlipuko mkubwa waripotiwa katikati ya mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    Mlipuko mkubwa waripotiwa katikati ya mji mkuu wa Sudan, Khartoum

    May 03, 2023 03:37

    Ripoti zinasema kuwa sauti ya mlipuko mkubwa imesika katikati ya mji mkuu wa Sudan, Khartoum leo asubuhi.

  • Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan

    Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu kusambaratika hali ya kibinadamu nchini Sudan

    May 02, 2023 04:04

    Martin Griffiths, mkuu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kabla ya kuelekea nchini Sudan kwamba hali ya kibinadamu nchini humo ni mbaya sana kiasi kwamba imefikia kwenye hatua ya kusambaratika kabisa. Amesema, utatuzi wa mgogoro wa Sudan hauwezi kupatikana kutokana na kuendelea vita hivyo.

  • Mpango wa Chakula Duniani (WFP) waondoa zuio la oparesheni zake huko Sudan

    Mpango wa Chakula Duniani (WFP) waondoa zuio la oparesheni zake huko Sudan

    May 01, 2023 22:01

    Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetangaza kuwa umeamua kuondoa zuio la oparesheni zake za misaada ya kibinadamu nchini Sudan ambalo liliwekwa kufuatia kifo cha kusikitisha cha mfanyakazi mmoja wa shirika hilo hivi karibuni.

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuzuka vita vya pande zote nchini Sudan

    Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kuzuka vita vya pande zote nchini Sudan

    Apr 29, 2023 22:39

    Umoja wa Mataifa umeonya juu ya hatari ya kuzuka vita vya upande zote na vya muda mrefu nchini Sudan na athari zake mbaya kwenye mipaka ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS