Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Wasudan waandamana usiku kucha dhidi ya serikali ya kijeshi

    Wasudan waandamana usiku kucha dhidi ya serikali ya kijeshi

    Apr 07, 2022 02:09

    Wananchi wa Sudan wameendelea kuandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum na katika miji mingine ya nchi hiyo dhidi ya serikali ya kijeshi.

  • Ujumbe wa Israel wakutana na wakuu wa jeshi la Sudan mjini Khartoum

    Ujumbe wa Israel wakutana na wakuu wa jeshi la Sudan mjini Khartoum

    Apr 03, 2022 22:05

    Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya safari ya siri mjini Khartoum, na kukutana na maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Sudan.

  • Sudan yatishia kumfukua mwakilishi wa kudumu wa UN, kisa, anaingilia mambo ya ndani

    Sudan yatishia kumfukua mwakilishi wa kudumu wa UN, kisa, anaingilia mambo ya ndani

    Apr 02, 2022 02:49

    Kamanda wa jeshi la Sudan ametishia kumfukuza mwakilishi wa kudumu wa Umoja wa Mataifa mjini Khartoum.

  • Mapigano ya kikabila Darfur yasababisha vifo vya makumi ya watu

    Mapigano ya kikabila Darfur yasababisha vifo vya makumi ya watu

    Apr 01, 2022 05:55

    Mapigano makali kati ya makundi hasimu huko Darfur nchini Sudan yamesababisha takriban watu 45 kuuawa, huku viongozi wa kikabila wakiripoti kwamba mapigano hayo ni sehemu ya ghasia za kikabila zinazoendelea katika eneo hilo.

  • HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan

    HRW: Polisi ya Misri inawakandamiza wakimbizi wa Sudan

    Mar 28, 2022 06:35

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeishutumu polisi kwa kuwazuilia kinyume cha sheria na kuwatesa makumi ya wakimbizi wa Sudan.

  • Sudan yakadhibisha madai ya kuwepo mamluki wa Russia nchini humo

    Sudan yakadhibisha madai ya kuwepo mamluki wa Russia nchini humo

    Mar 22, 2022 22:14

    Serikali ya Sudan imepuuzilia mbali madai ya Wamagharibi wanaodai kuwa, kuna mamluki wa Kundi la Wagner la Russia katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Maandamano ya Wasudani milioni moja kufanyika leo, wanapinga utawala wa kijeshi

    Maandamano ya Wasudani milioni moja kufanyika leo, wanapinga utawala wa kijeshi

    Mar 21, 2022 04:17

    Makundi yanayopinga utawala wa kijeshi nchini Sudan yameitisha maandamano ya watu milioni moja leo Jumatatu, ambayo wamesema yataelekea katika ikulu ya rais katikati mwa mji mkuu, Khartoum. Maandamano ya leo ya Wasudani yanafuatia yale yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika miji mingine kadhaa ya Sudan.

  • Jeshi la Sudan: Tutakabidhi madaraka kwa serikali itakayochaguliwa

    Jeshi la Sudan: Tutakabidhi madaraka kwa serikali itakayochaguliwa

    Mar 19, 2022 23:23

    Naibu kiongozi wa baraza la uongozi la Sudan amesisitiza kuwa, utawala wa mpito wa kijeshi nchini humo utakabidhi madaraka kwa serikali itakayochaguliwa.

  • WFP yatahadharisha kuhusu hatari ya njaa nchini Sudan Kusini

    WFP yatahadharisha kuhusu hatari ya njaa nchini Sudan Kusini

    Mar 12, 2022 09:41

    Katika taarifa yake mpya, Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umetahadharisha kuwa, zaidi ya asilimia 70 ya wananchi wa Sudan Kusini mwaka huu wa 2022 wanakabiliwa na hatari ya njaa.

  • Watu 16 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur, Sudan

    Watu 16 wauawa katika mapigano ya kikabila Darfur, Sudan

    Mar 09, 2022 06:52

    Watu wasiopungua 16 wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mapigano ya kikabila katika mkoa wa Darfur Magharibi nchini Sudan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS