Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan wamtaka Rais Bashir ajiuzulu

    Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan wamtaka Rais Bashir ajiuzulu

    Jan 02, 2019 23:43

    Muungano mkubwa zaidi wa upinzani wa Nidaa nchini Sudan umemtaka Rais Omar al-Bashir wa nchi hiyo aachie ngazi, huku maandamano dhidi ya serikali yakiendelea.

  • Al Bashir aamuru kuundwe tume ya kuchunguza machafuko ya sasa nchini Sudan

    Al Bashir aamuru kuundwe tume ya kuchunguza machafuko ya sasa nchini Sudan

    Jan 01, 2019 11:41

    Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuundwa tume ya kuchunguza ghasia na machafuko yanayoendelea sasa nchini humo.

  • Rais al Bashir: Sudan itauvuka mgogoro wa sasa

    Rais al Bashir: Sudan itauvuka mgogoro wa sasa

    Dec 30, 2018 23:36

    Rais wa Sudan ameahidi kuwa nchi hiyo itaondokana na mgogoro unaosibu hivi sasa licha ya kuwepo pande zinazopambana na Sudan.

  • Uchunguzi: Umiliki wa silaha raia nchini Kenya wapiku wa polisi na wa wanajeshi

    Uchunguzi: Umiliki wa silaha raia nchini Kenya wapiku wa polisi na wa wanajeshi

    Dec 29, 2018 23:51

    Serikali ya Kenya inafanya juhudi za kuwashawishi watu wanaomiliki silaha bila kibali kukabidhi silaha zao lakini juhudi za huko nyuma zimefeli kwa sababu kumiliki silaha hivi sasa imekuwa ni sehemu katika maisha ya kila siku nchini humo.

  • Umoja wa Mataifa wataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji Sudan

    Umoja wa Mataifa wataka kufanyike uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji Sudan

    Dec 29, 2018 12:53

    Umoja wa Mataifa umelezea kusikitishwa sana na machafuko pamoja na mauaji ya waandamanaji nchini Sudan na umewataka viongozi wa nchi hiyo wafanye uchunguzi unaotakiwa wa kubaini kwa nini waandamanaji wanauawa.

  • Polisi Sudan wawashambulia waandamanaji wakitoka msikitini

    Polisi Sudan wawashambulia waandamanaji wakitoka msikitini

    Dec 28, 2018 12:37

    Maafisa usalama nchini Sudan wamewashambulia kwa mabomu ya kutoa machozi, waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki 'maandamano ya amani' baada ya Sala ya Ijumaa, katika mji wa Omdurman, nje kidogo ya mji mkuu Khartoum.

  • Waandishi wa habari nao waitisha mgomo nchini Sudan, Misri yamuunga mkono al Bashir

    Waandishi wa habari nao waitisha mgomo nchini Sudan, Misri yamuunga mkono al Bashir

    Dec 28, 2018 03:28

    Chama huru cha waandishi wa habari nchini Sudan kimetangaza kuwa, waandishi wa habari nchini humo wameamua kugoma ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono matakwa ya haki ya wananchi wanaopigania uhuru na demokrsia nchini humo. Hii ni katika hali ambayo serikali ya Abdel Fattah el Sisi ya Misri imetangaza kumuunga mkono Rais Omar al Bashir wa Sudan katika hali ngumu ya nchi hiyo hivi sasa.

  • 'Maandamano ya Mkate' yazidi kuigubika Sudan, Rais al-Bashir akalia kuti kavu

    'Maandamano ya Mkate' yazidi kuigubika Sudan, Rais al-Bashir akalia kuti kavu

    Dec 27, 2018 11:28

    Maandamano ya mkate ambayo yamekuwa yakishushuhudiwa nchini Sudan kwa wiki moja sasa na ambayo yamechukua mkondo wa kisiasa, yamezidi kuigubika nchi hiyo na kuifanya serikali ya Rais Omar Hassan al-Bashir ikabiliwe na mashinikizo zaidi.

  • Rais al Bashir atishia kukata mikono ya waandamanaji Sudan

    Rais al Bashir atishia kukata mikono ya waandamanaji Sudan

    Dec 27, 2018 04:16

    Rais Hassan al Bashir wa Sudan amekemea vikali "maandamano ya mkate" yanayoendelea kwa zaidi ya wiki moja sasa nchini humo dhidi ya serikali yake na kusema kuwa atakata mikono ya waandamanaji hao.

  • Msudan mwingine auawa katika maandamano

    Msudan mwingine auawa katika maandamano

    Dec 26, 2018 09:52

    Baada ya kuuawa Msudan mwingine katika maandamano ya kupinga serikali, idadi ya wahanga waliopoteza maisha yao katika maandamano yaliyoanza wiki iliyopita, wameshafikia 38.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS