Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Feb 25, 2017 10:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitizia uepo wa ushirikiano baina ya nchi yake na serikali ya Iraq katika kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Watunisia wataka kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yao na Syria

    Watunisia wataka kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yao na Syria

    Feb 25, 2017 10:52

    Makundi ya kiraia nchini Tunisia yametaka kuanzishwa mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi yao na serikali ya Syria.

  • Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria

    Feb 25, 2017 03:47

    Russia imetangaza kuwa, itatumia kura ya veto kupinga vikwazo vya aina yoyote ile vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Syria kwa madai kwamba nchi hiyo imetumia silaha za kemikali.

  • Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh

    Katibu Mkuu wa UN: Bila ya njia jumuishi za kisiasa haitowezekana kuishinda Daesh

    Feb 18, 2017 12:49

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesisitiza kuwa haitowezekana kulishinda kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq pasina kuwa na njia ya ufumbuzi wa kisiasa jumuishi na wa pande zote.

  • Zarif: Kuingia wanajeshi wa Marekani nchini Syria kutazidisha mgogoro

    Zarif: Kuingia wanajeshi wa Marekani nchini Syria kutazidisha mgogoro

    Feb 18, 2017 04:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, mpango wa serikali ya Marekani wa kutuma wanajeshi wake nchini Syria hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuongeza mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kiujumla. Amesema hayo pambizoni mwa mkutano wa usalama uliofanyika mjini Munich, Ujerumani wakati alipohojiwa na televisheni ya CNN.

  • UN yasisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina

    UN yasisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina

    Feb 16, 2017 12:25

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Kuongezeka shaka juu ya hatima ya mazungumzo ya Geneva sambamba na kuakhirishwa kikao cha Astana 2

    Kuongezeka shaka juu ya hatima ya mazungumzo ya Geneva sambamba na kuakhirishwa kikao cha Astana 2

    Feb 16, 2017 08:42

    Kuongezeka hitilafu baina ya makundi yanayoipinga serikali ya Syria na ukwamishaji mambo unaofanywa na Uturuki vimesababisha kuakhirishwa kikao cha Astana 2 sambamba na kuzidi kuwepo uwezekano wa kusogezwa mbele tena tarehe ya kufanyika mazungumzo ya Geneva kuhusu mgogoro wa Syria.

  • Larijani: Umoja wa kitaifa, suluhu ya migogoro ya Syria, Yemen

    Larijani: Umoja wa kitaifa, suluhu ya migogoro ya Syria, Yemen

    Feb 12, 2017 01:34

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema njia pekee ya kuipatia ufumbuzi migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika nchi za Syria na Yemen ni mshikamano na umoja wa kitaifa.

  • Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi

    Feb 09, 2017 00:36

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.

  • Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi

    Assad: Marekani kudai inapambana na Daesh huko Syria ni njozi

    Feb 07, 2017 11:25

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ameutaja muungano wa kijeshi wa Marekani unaodai kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS nchini Syria kuwa ni muungano wa kinjozi na wa kuihadaa dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS