Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia yakanusha kuuliwa wanajeshi wake Syria

    Russia yakanusha kuuliwa wanajeshi wake Syria

    Feb 05, 2017 23:12

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amekanusha ripoti iliyotolewa kuhusu kuuliwa wanajeshi wake huko Syria.

  • Jeshi la Syria lazidi kupata ushindi, lakomboa mamia ya kilomita mraba

    Jeshi la Syria lazidi kupata ushindi, lakomboa mamia ya kilomita mraba

    Feb 05, 2017 01:15

    Tangu mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka huu hadi hivi sasa, jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa zaidi ya maeneo 30 ya makazi ya raia kutoka kwa genge la Kizayuni na la wakufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Hatimaye jeshi la Syria ladhibiti vyanzo vya maji vya mji wa Damascus

    Hatimaye jeshi la Syria ladhibiti vyanzo vya maji vya mji wa Damascus

    Jan 28, 2017 10:33

    Hatimaye jeshi la Syria limefanikiwa kudhibiti kikamilifu vyanzo vikuu vya maji ya mji mkuu wa nchi hiyo Damascus, katika mji wa Ain al-Fijah uliopo eneo la Wadi al-Bardi ambalo miezi michache iliyopita lilikaliwa kwa mabavu na magaidi wakufurishaji waliowafungia maji wananchi.

  • Uingereza yabadili siasa zake kuhusu Syria na Rais Bashar Assad

    Uingereza yabadili siasa zake kuhusu Syria na Rais Bashar Assad

    Jan 27, 2017 00:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amekiri katika Kamati ya Masuala ya Kigeni ya Bunge la nchi hiyo kwamba London imebadili siasa zake kuhusiana na Syria.

  • Hatimaye usafiri wa treni waanza tena Aleppo, Syria baada ya miaka minne ya hujuma za magaidi

    Hatimaye usafiri wa treni waanza tena Aleppo, Syria baada ya miaka minne ya hujuma za magaidi

    Jan 26, 2017 04:19

    Waziri wa Usafirishaji nchini Syria amesema kuwa, huduma za usafiri wa treni kati ya mashariki na magharibi mwa mji wa kibiashara wa Aleppo, kaskazini mwa nchi hiyo imeanza baada ya kusimama kwa kipindi cha miaka 4 tangu magaidi wakufurishaji walipouvamia mji huo.

  • Mazungumzo ya Astana; ubunifu wa kieneo kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Mazungumzo ya Astana; ubunifu wa kieneo kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria

    Jan 23, 2017 09:47

    Mji mkuu wa Kazakhstan, Astana, leo na kesho ni mwenyeji wa mazungumzo ya Wasyria kwa Wasyria chini ya usimamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.

  • Sheikh Naim Qassim: Hizbullah itaendelea kubakia Syria kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo

    Sheikh Naim Qassim: Hizbullah itaendelea kubakia Syria kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo

    Jan 20, 2017 12:15

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo itaendelea kubakia nchini Syria na kupambana na magaidi wa kitakfiri kadiri itakavyohitajika kufanya hivyo.

  • Marekani yaendelea kusaidia magenge ya kigaidi nchini Syria

    Marekani yaendelea kusaidia magenge ya kigaidi nchini Syria

    Jan 18, 2017 23:27

    Huku juhudi za kuitisha mazungumzo ya amani ya Syria huko Astana mji mkuu wa Kazakhstan zikiendelea, vyombo vya habari vimetangaza kuwa, Marekani imeongeza misaada yake kwa magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji dhidi ya raia na maafisa wa serikali ya Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo.

  • Marekani yazidisha utumaji misaada ya silaha kwa makundi ya kigaidi nchini Syria

    Marekani yazidisha utumaji misaada ya silaha kwa makundi ya kigaidi nchini Syria

    Jan 18, 2017 03:48

    Huku juhudi za kuandaa kikao cha Astana nchini Kazakhstan kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria zikiwa zinaendelea, duru za habari zimearifu kwamba serikali ya Marekani imeongeza kiwango cha utumaji misaada ya silaha kwa makundi ya kigaidi yanayopigana dhidi ya serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.

  • Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah

    Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah

    Jan 13, 2017 00:43

    Jeshi la Syria limetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mezzah ulioko magharibi mwa mji wa Damascus na kuutahadharisha utawala huo kuhusu taathira mbaya za shambulizi hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS