-
Sputnik: Kitabu cha mwongozo wa magaidi wa Syria kimechapishwa nchini Uturuki
Sep 24, 2016 04:40Vikosi vya jeshi la Syria vimenasa nakala ya kitabu kilichochapishwa nchini Uturuki ambacho ndani yake kina maelezo ya utoaji mafunzo kwa magaidi kuhusu jinsi ya kutumia silaha za nyuklia.
-
Rais Assad: Marekani inayatumia makundi ya Daesh na Jab'hatu Nusrah kufikia malengo yake
Sep 22, 2016 11:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Marekani inayatumia makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS) na Jab'hatu Nusrah kufikia malengo yake na kwamba Washington haina nia yoyote ya kuyasambaratisha makundi hayo.
-
UN yataka msaada wa Iran kuhusu migogoro ya Syria, Yemen
Sep 22, 2016 00:55Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka msaada wa Iran katika kutafutia suluhisho la kudumu migogoro inayotokota Syria na Yemen.
-
Assad akosoa "uchokozi wa kifedhuli wa Marekani" dhidi ya ngome za jeshi la Syria
Sep 19, 2016 22:16Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema shambulio la ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya ngome za jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu ni "uchokozi wa kifedhuli".
-
Russia: Shambulio dhidi ya vikosi vya Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita
Sep 18, 2016 09:54Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeonya kuwa shambulio la muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya vikosi vya jeshi la Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kuridhishwa De Mistura na usitishaji vita; mustakabali wa Assad uko mikononi mwa wananchi wa Syria
Sep 16, 2016 09:39Staffan de Mistura, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesema lengo la makubaliano baina ya Marekani na Russia ya kusitishwa vita nchini Syria ni kuwezesha kufikishwa na misaada kwa raia wa nchi hiyo.
-
Russia yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria
Sep 13, 2016 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuchelewa kuanza tena mazungumzo ya Syria ni jambo lisilokubalika.
-
Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo
Sep 12, 2016 02:12Utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa mwaka wa tano mfululizo umewazuia Mahujaji kutoka Syria kuingia Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Hija.
-
Iran yalaani miripuko ya kigaidi huko Syria
Sep 06, 2016 03:03Bahram Qassemi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa vitendo vya kigaidi vinavyofanywa na magaidi watenda jinai wa kitakfiri na waungaji mkono wao wa Kiwahabi kwa kuwalenga raia wasio na hatia huko Syria, vinaonyesha kutokuwa na uwezo na kushindwa magaidi hao katika mapambano ya kijeshi na jinsi walivyo na ndoto tupu za kisiasa katika eneo hili.
-
Hizbullah ya Lebanon: Hali ilivyo ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa Syria
Sep 04, 2016 23:53Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema hali ilivyo hivi sasa nchini Syria ni kwa manufaa ya serikali na wananchi wa nchi hiyo.